moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,943
Ulivyosikia ikawaje????kiukweli binafsi nimepanda treni kwa mara ya kwanza mwezi NOVEMBER toka Dar - Moshi. lakini kuna viashiria vilivyonitia wasiwasi juu ya usalama wa treni dhidi ya ajali
Nilishuhudia mara kadhaa treni ikisimama na nikasikia majani yameota sana ndani ya reli hivyo wanamwagia mchanga, kuna kipindi mpaka niliogopa maana treni lilisimama muda mrefu ili kupunguza adha hiyo.