Trafiki wa kike atekwa akiwa barabarani

Trafiki wa kike atekwa akiwa barabarani

huyu poliCCM amejiteka mwenyewe. gari adandie mwenyewe kwa hiari yake halafu aseme ametekwa? mpuuzi mkubwa!
 
Duh mateka hadi kapewa haki ya msingi ya kuwasiliana ili aokolewe kweli tafsiri ya utekaji ni pana.
 
Hii ni CLASSIC EXAMPLE ya namna polisi wanavyobambikizia watu kesi. Hapo hakukuwa na utekaji wala nini, huenda jamaa alikereka na manyanyaso ya traffic. Kisheria sio wakati wote unatakiwa kutembea na leseni, angeandikiwa charge then anapewa masaa 72 awasilishe leseni yake. Tatizo jeshi la polisi ni la hovyo hawatembei hata na charge sheet kwa vile wanaenda barabarani kutafuta rushwa. Hakuna utekaji nyara hapo.
 
Kwanini askari anapanda kwenye gari la mtuhumiwa wake kwa nguvu, tena mlango wa nyuma then aseme katekwa? Kwani gari hiyo registration namber zake ni za nini? Angeweza chukua namba na kutoa taarifa kwa askari wenzake angekamatwa vizuri tu, au wao hawazi chukua namba ya gari na kuamliwa ku report kituoni? Shame on bongo rules.
 
hivi hii kitu ya askari kufungua mlango na kuingia kwenye gari bila idhini ya mwenye gari inakuwaje????? mi huwa siilewi....

Maafande wamekuwa authorized kufanya hivyo (na sheria), but kwa masharti maalum! Mfano mzuri ni kama hiyo issue ya Bi Ester!

Kwa lugha nyepesi hiyo ni moja kati ya exceptions za tresspass!
 

Polisi wanatakiwa kuanza kujifunza somo moja kutokana na tukio hili!
Imekuwa mazoea na hasa Trafiki barabarani kuingia ndani ya magari ya watu bila hata kukaribishwa na muda mwingine hata kufikia kiwango cha kuchomoa ufunguo !

Malengo makuu ya kufanya hivyo ni kutengeneza mazingira ya kupokea chochote kwa urahisi na nje ya macho ya wapita njia.

Hii kesi inatakiwa wanasheria wa kujitokea waingilie Kati kama jamaa hana uwezo wa kuweka wakili ili tupate muongozo murua utakaosimamia kesi kibao za aina hii. Hawa polisi wamezidi kujitungia sheria zao kwa lengo la kuweka mazingira ya rushwa.
 
Traffic wengi ni div four au zero ndo maana hawana akili. Kama kweli katekwa na alikua kiti cha nyuma si angetokea mlango huo huo kwenye mataa ? kutoka changombe mpaka mburahati kuna mataa ya serengeti. changombe veta. kwa kandoro isitoshe Dar es Salaam mchana kuna foleni za kufa mtu. kwa nini muda wote asiteremke na mlango wa RAV four sio complicated kama wa benzi. No. tell me another story hii ya kutekwa tell it to the birds
 
hivi hii kitu ya askari kufungua mlango na kuingia kwenye gari bila idhini ya mwenye gari inakuwaje????? mi huwa siilewi....

Kama jamaa angekuwa mstaarabu bila shaka huyo askari hata asingekuwa nahaja ya kuingia kwenye gari ila kwakuwa jamaa ameonyesha ukaidi askari hana budi kutumia njia yoyote ile iwezekanavyo ili kumdhibiti.

Ndio askari anavyotakiwa kuwa kwa watu jeuri. Sasa jamaa haraka yake imeishia wapi? si imeishia segerea na awaambie na maaskari wa segerea kuwa ana haraka.
 
Back
Top Bottom