Hehehe na wewe hunijui. Nachoongelea nimeshawahikufanya mara 1, baada ya hapo mara nyingi tunaishia kuelewana na kumpa buku 2 au 5. Ni swala la kujiamnini tu, lakini uwe na sababu za kujiamini. Sasa kama wewe ni simbilisi tu lower class citizen na kagari ka mkopo kamechakaa obviously utakua abused.Ongea hapa kwenye mitandao hujakamatwa sheria hujui.
Hehehe na wewe hunijui. Nachoongelea nimeshawahikufanya mara 1, baada ya hapo mara nyingi tunaishia kuelewana na kumpa buku 2 au 5. Ni swala la kujiamnini tu, lakini uwe na sababu za kujiamini. Sasa kama wewe ni simbilisi tu lower class citizen na kagari ka mkopo kamechakaa obviously utakua abused.
Kalakabaho. Jiamini tu, ila uwe na sababu na backup.
Du toto limesheheni masaburi kinoma, usafiri nao upo pouwa, Hatareee!Askar mwenyewe kanona kinoma
Afande nae anaweza kuwa muongo kama tukiangalia mizani, isijekuwa walitongozana wakapishana makubaliano, afande akaamua kumgeuzia kibao jamaa.
Kwa tukio lilivyo siwezi kusema afande ametekwa
Kweli kabisaHuyo askari alikuwa hana haki ya kufungua mlango na kupanda hilo gari.
sungura kamkaba tembo!!
Alexander Msowoya (35), ambaye ni mkazi wa Chang'ombe, jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Magomeni akikabiliwa na shtaka la kumteka nyara askari wa kike wa usalama barabarani.
Akiwa anaendesha gari, mshtakiwa huyo anadaiwa kumteka Kostebo Ester katikati ya maeneo ya Tameke na Chang'ombe kabla ya kukamatwa maeneo ya katikati ya Mabibo na Ubungo baada ya msako mkali wa polisi waliokuwa wakitumia redio za upepo.
Hati ya mashtaka iliyosomwa mbele ya hakimu Mwanaidi Ngoda ilidai kuwa Julai 11, mwaka huu, saa 9:00 alasiri, eneo la kati ya Temeke na Chang'ombe, mshtakiwa alimteka nyara askari polisi Konstebo Ester, alipotakiwa kuonyesha leseni yake.
Ilidaiwa kuwa Afande Ester alimkamata mshtakiwa huyo akiwa anaendesha gari lenye namba za usajili T 495 BKJ na kumtaka aonyeshe leseni yake, lakini hakufanya hivyo.
Baada ya hapo, ikadaiwa kuwa trafiki huyo wa kike akamwamuru dereva huyo aliyekuwa anaendesha gari aina ya Rav4 ya rangi ya bluu kuweka gari lake pembeni, lakini alikaidi kwa kudai ana haraka.
Kutokana na hali hiyo, ilidaiwa kuwa askari aliingia ndani ya gari kwa kupitia kwenye mlango wa nyuma na kuamuru waende kwenye kituo cha polisi Chang'ombe.
Hata hivyo, ilidaiwa kuwa badala ya kuelekea alikoelekezwa, mshtakiwa alianza kwenda anakokujua yeye, hivyo kukiuka amri halali ya polisi na kitendo hicho kuhesabika kama ni utekaji nyara.
Awali, kabla ya kesi hiyo kusomwa, askari polisi mmoja alimwambia mwandishi wa habari hizi kuwa kilichomuokoa afande Ester ni redio ya mawasiliano aliyokuwa nayo, ambayo kwa kiasi kikubwa ilifanikisha kujua walipo na wanakoelekea.
Hivyo, walikuwa wakifanya mawasiliano na askari wengine waliokuwa maeneo mbalimbali gari linapopita na ikasaidia kukamatwa.
"Afande amepumzika nyumbani kwake. Kwa sasa hali yake si nzuri ana presha kutokana na tukio hili," alisema askari mmoja wa kiume mahakamani hapo, ambaye hakutaka kutaja jina lake.
Hata hivyo, alidokeza kuwa kuna uwezekano mkubwa kesi hiyo ikapelekwa kwenye mahakama za juu kutokana na uzito wake, kwani ni ya utekaji nyara.
Mshtakiwa alikana shtaka hilo na kupelekwa rumande. Kesi hiyo imepangwa kuendelea tena Julai 27, mwaka huu
Chanzo: Nipashe
Kuteka nyara sio traffic offenceTraffic offence no issue
Hilo la kwako ni gari au kiberengemm huwa wakinikamata namwambia niandikie hapa hapa, na receipt nipe, hataki naondoka. polisi yeyote hapandi gar yangu
Huu mwandiko mbona hausomeki
Alexander Msowoya (35), ambaye ni mkazi wa Chang'ombe, jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Magomeni akikabiliwa na shtaka la kumteka nyara askari wa kike wa usalama barabarani.
Akiwa anaendesha gari, mshtakiwa huyo anadaiwa kumteka Kostebo Ester katikati ya maeneo ya Tameke na Chang'ombe kabla ya kukamatwa maeneo ya katikati ya Mabibo na Ubungo baada ya msako mkali wa polisi waliokuwa wakitumia redio za upepo.
Hati ya mashtaka iliyosomwa mbele ya hakimu Mwanaidi Ngoda ilidai kuwa Julai 11, mwaka huu, saa 9:00 alasiri, eneo la kati ya Temeke na Chang'ombe, mshtakiwa alimteka nyara askari polisi Konstebo Ester, alipotakiwa kuonyesha leseni yake.
Ilidaiwa kuwa Afande Ester alimkamata mshtakiwa huyo akiwa anaendesha gari lenye namba za usajili T 495 BKJ na kumtaka aonyeshe leseni yake, lakini hakufanya hivyo.
Baada ya hapo, ikadaiwa kuwa trafiki huyo wa kike akamwamuru dereva huyo aliyekuwa anaendesha gari aina ya Rav4 ya rangi ya bluu kuweka gari lake pembeni, lakini alikaidi kwa kudai ana haraka.
Kutokana na hali hiyo, ilidaiwa kuwa askari aliingia ndani ya gari kwa kupitia kwenye mlango wa nyuma na kuamuru waende kwenye kituo cha polisi Chang'ombe.
Hata hivyo, ilidaiwa kuwa badala ya kuelekea alikoelekezwa, mshtakiwa alianza kwenda anakokujua yeye, hivyo kukiuka amri halali ya polisi na kitendo hicho kuhesabika kama ni utekaji nyara.
Awali, kabla ya kesi hiyo kusomwa, askari polisi mmoja alimwambia mwandishi wa habari hizi kuwa kilichomuokoa afande Ester ni redio ya mawasiliano aliyokuwa nayo, ambayo kwa kiasi kikubwa ilifanikisha kujua walipo na wanakoelekea.
Hivyo, walikuwa wakifanya mawasiliano na askari wengine waliokuwa maeneo mbalimbali gari linapopita na ikasaidia kukamatwa.
"Afande amepumzika nyumbani kwake. Kwa sasa hali yake si nzuri ana presha kutokana na tukio hili," alisema askari mmoja wa kiume mahakamani hapo, ambaye hakutaka kutaja jina lake.
Hata hivyo, alidokeza kuwa kuna uwezekano mkubwa kesi hiyo ikapelekwa kwenye mahakama za juu kutokana na uzito wake, kwani ni ya utekaji nyara.
Mshtakiwa alikana shtaka hilo na kupelekwa rumande. Kesi hiyo imepangwa kuendelea tena Julai 27, mwaka huu
Chanzo: Nipashe
Hapo ndio kesi inaanzia nani alimwingiza kwenye gari.Huyo askari alikuwa hana haki ya kufungua mlango na kupanda hilo gari.
Hapo hamna kesi,si Anadai alimwambia ana haraka!,Nilitaka tuanze huku ninakoharakia ndio twende huko kituoni.
Alexander Msowoya (35), ambaye ni mkazi wa Chang'ombe, jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Magomeni akikabiliwa na shtaka la kumteka nyara askari wa kike wa usalama barabarani.
Akiwa anaendesha gari, mshtakiwa huyo anadaiwa kumteka Kostebo Ester katikati ya maeneo ya Tameke na Chang'ombe kabla ya kukamatwa maeneo ya katikati ya Mabibo na Ubungo baada ya msako mkali wa polisi waliokuwa wakitumia redio za upepo.
Hati ya mashtaka iliyosomwa mbele ya hakimu Mwanaidi Ngoda ilidai kuwa Julai 11, mwaka huu, saa 9:00 alasiri, eneo la kati ya Temeke na Chang'ombe, mshtakiwa alimteka nyara askari polisi Konstebo Ester, alipotakiwa kuonyesha leseni yake.
Ilidaiwa kuwa Afande Ester alimkamata mshtakiwa huyo akiwa anaendesha gari lenye namba za usajili T 495 BKJ na kumtaka aonyeshe leseni yake, lakini hakufanya hivyo.
Baada ya hapo, ikadaiwa kuwa trafiki huyo wa kike akamwamuru dereva huyo aliyekuwa anaendesha gari aina ya Rav4 ya rangi ya bluu kuweka gari lake pembeni, lakini alikaidi kwa kudai ana haraka.
Kutokana na hali hiyo, ilidaiwa kuwa askari aliingia ndani ya gari kwa kupitia kwenye mlango wa nyuma na kuamuru waende kwenye kituo cha polisi Chang'ombe.
Hata hivyo, ilidaiwa kuwa badala ya kuelekea alikoelekezwa, mshtakiwa alianza kwenda anakokujua yeye, hivyo kukiuka amri halali ya polisi na kitendo hicho kuhesabika kama ni utekaji nyara.
Awali, kabla ya kesi hiyo kusomwa, askari polisi mmoja alimwambia mwandishi wa habari hizi kuwa kilichomuokoa afande Ester ni redio ya mawasiliano aliyokuwa nayo, ambayo kwa kiasi kikubwa ilifanikisha kujua walipo na wanakoelekea.
Hivyo, walikuwa wakifanya mawasiliano na askari wengine waliokuwa maeneo mbalimbali gari linapopita na ikasaidia kukamatwa.
"Afande amepumzika nyumbani kwake. Kwa sasa hali yake si nzuri ana presha kutokana na tukio hili," alisema askari mmoja wa kiume mahakamani hapo, ambaye hakutaka kutaja jina lake.
Hata hivyo, alidokeza kuwa kuna uwezekano mkubwa kesi hiyo ikapelekwa kwenye mahakama za juu kutokana na uzito wake, kwani ni ya utekaji nyara.
Mshtakiwa alikana shtaka hilo na kupelekwa rumande. Kesi hiyo imepangwa kuendelea tena Julai 27, mwaka huu
Chanzo: Nipashe
Hivi kuingia kwenye gari la mtu bila rukhsa yake siyo tresspass?

Mtu hana leseni ya kuendesha gari,hivyo anakosa uhalali wa kuendesha gari,msimamie Sheria kaligundua Hilo,Bado anataka apande gari linaloendeshwa na mtu aliekosa sifa za kuwa barabarani!Wanageuza jambo kuwa utekaji.Aibu.Huyo askari ana makosa na waache kumtetea, haiwezekani akubali kuendeshwa na mtu asiye na leseni na kama alikubali kuendeshwa na mtu asiye na leseni that means hakukuwa na kosa kwa dereva huyo kuendesha gari hio bila leseni maana hata msimamizi wa sheria "polisi" naye alitumia gari hio hio na ikiendeshwa na mtu huyo huyo asiyekuwa na leseni!!!!!
Huwa siwaelewi hawa jamaa zangu ila kwakua najua wana njaa sana hua namalizana nao kimtindo ila kama nikuamua kukomaa mtu unawashinda kirahisi sana.
MANI
🤣🤣🤣 Hatari Mkuu.Mtu hana leseni ya kuendesha gari,hivyo anakosa uhalali wa kuendesha gari,msimamie Sheria kaligundua Hilo,Bado anataka apande gari linaloendeshwa na mtu aliekosa sifa za kuwa barabarani!Wanageuza jambo kuwa utekaji.Aibu.
Kuna mtu hana leseni,na kuna mwingine anayo sema kaisahau nyumbani au kwa office, hao ni watu wawili tofauti!!Mtu hana leseni ya kuendesha gari,hivyo anakosa uhalali wa kuendesha gari,msimamie Sheria kaligundua Hilo,Bado anataka apande gari linaloendeshwa na mtu aliekosa sifa za kuwa barabarani!Wanageuza jambo kuwa utekaji.Aibu.