Trafiki wa kike atekwa akiwa barabarani

Trafiki wa kike atekwa akiwa barabarani

Kama jamaa angekuwa mstaarabu bila shaka huyo askari hata asingekuwa nahaja ya kuingia kwenye gari ila kwakuwa jamaa ameonyesha ukaidi askari hana budi kutumia njia yoyote ile iwezekanavyo ili kumdhibiti.

Ndio askari anavyotakiwa kuwa kwa watu jeuri. Sasa jamaa haraka yake imeishia wapi? si imeishia segerea na awaambie na maaskari wa segerea kuwa ana haraka.

Lazima utakuwa Polisi tu!
 
Gari yangu ya jasho langu funguo anachukua ye kama nani???!!!
Kupanda tu labda lifti, nikiwa na kosa atanielekeza wapi pa kwenda sio kuongozana naye kwenue gari yangu!!!!!!

Never!!!!

aiseeeeeeee ujue ukijifanya unajua sheria wanaitana na usumbufu unaongezeka
 
Nao wanapenda sana kuingia kwenye magari ya watu, wakome na iwe fundisho kwao mtu siajabu anastress zake, unaenda kudandia gari kama yako
 
Nao wanapenda sana kuingia kwenye magari ya watu, wakome na iwe fundisho kwao mtu siajabu anastress zake, unaenda kudandia gari kama yako

nadhani huyu jamaa alikua anatoa fundisho hapo
 
aiseeeeeeee ujue ukijifanya unajua sheria wanaitana na usumbufu unaongezeka

Sio mara moja wala sitoacha, funguo hachukui na gari hapandi!!!
Vyote mali yangu na vinatoka kwa utaratibu maalum tukifika kituoni sio sababu tu yeye kaona inafaa, situmii ulevi wowote so hana sababu ya kuniendesha au kuhakiki matendo yangu!!!!

Ye atoe maelekezo tu! !!!
 
bora kuwa mpole

Hivi upole ni kukubali kila unaloambiwa hata kama halina mantiki???!!!
Hujawahi kwenda kituoni ukaingia kwa hata mkuu wa kituo ukaeleza ilivyokuwa akaitwa aliyekupeleka akaulizwa maswali akajiuma???!!!

Unalijua kosa lao linaitwa "gari bovu -bodi"????!!!!
 
Kama jamaa angekuwa mstaarabu bila shaka huyo askari hata asingekuwa nahaja ya kuingia kwenye gari ila kwakuwa jamaa ameonyesha ukaidi askari hana budi kutumia njia yoyote ile iwezekanavyo ili kumdhibiti.

Ndio askari anavyotakiwa kuwa kwa watu jeuri. Sasa jamaa haraka yake imeishia wapi? si imeishia segerea na awaambie na maaskari wa segerea kuwa ana haraka.

Sasa hapo alidhibiti nini???!!!
Mnawatia ujinga tu hao siku watakutana na wakorofi kweli atalazimishwa kuruka gari ikiwa kwenye mwendo kutoka kiti cha nyuma na itaonekana ameruka mwenyewe na kesi atashindwa!!!??

Gari ina namba, rangi inaonekana,wajihi na nguo za dereva pia uelekeo aliuona na alikuwa na radio, pikipiki zipo kibao kwa nini hakurusha redioni???!!!

Hakika mpaka sasa kama mkuu wake ni "mtu wa kazi" saa hizi muhusika tumbo joto kwa mambo ya ndani, nje itapoozwa ila ndani moto utamuwakia!!!!
 
nadhani huyu jamaa alikua anatoa fundisho hapo

Kwani wa kwanza huyo??!!
Kuna mmoja aliwahi chukuliwa Dodoma mpaka Bahi kama nakumbuka vizuri sababu ya mambo kama haya!!!!

Sitetei ukvu hata kidogo ila "reasonable force" inayomuweka askari hatarini is good for nothing!!!!
 
nadhani huyu jamaa alikua anatoa fundisho hapo

Kwani wa kwanza huyo??!!
Kuna mmoja aliwahi chukuliwa Dodoma mpaka Bahi kama nakumbuka vizuri sababu ya mambo kama haya!!!!

Sitetei uovu hata kidogo ila "reasonable force" inayomuweka askari hatarini is good for nothing!!!!
 
Kuna trafiki mwingine mmweusi ana mitako mizuri na mapaja manene anakuwaga pale Kigogo round about anakomaa na bodaboda. Yule lazima nimteke
 
Huyo trafic si mwungwana hata kidogo, ndiyo maana mimi mapolisi wote nawadharau hata kufa wafe tu kama wale walovamiwa kituoni wakacharangwa mapanga.
 
njaa zitawauwa nyie maafande wa polic angalieni mtakuja kupanda gari la osama sijui mtafanyaje
 
Lazima utakuwa Polisi tu!
Trafiki wajifunze namna bora ya kukabiliana na changamoto za barabarani, vinginevyo yatakuja kuwakuta hata makubwa zaidi. Tafsiri ya sheria za barabarani za wengi wao zinatia shaka na kukera pia.
 
Back
Top Bottom