Trafiki wa kike atekwa akiwa barabarani

Trafiki wa kike atekwa akiwa barabarani

Kwanza sheria inasema sio lazima dereva aonyeshe leseni yake hapo hapo atakapoombwa na trafiki polisi.

Inawezekana kutokana na haraka alizonazo dereva aliisahau nyumbani au sehemu yeyote hivyo alikuwa na haki ya kupewa muda ndani ya masaa 24 aiwasilishe kituo cha palisi.

Sasa huyo askari kukomaa mpaka kudandia gari ya mtuhumiwa ni kimbele mbele chake.

jamaa kama ana mwanasheria mzuri anaweza akamfukuzisha kazi huyo askari.

wameikimbizia mahakama ya mwazo
 
1.askari kasimamisha gari
2.kaingia mwenyewe mlango wa nyuma
3.kasema twende kituoni
4.dereva kaamua kwenda anakojua yeye sio anapotaka askari

hamna kesi ya utekaji hapa.....mtekaji angekuja na kusimama na kumuomba polisi aingie kwenye gari na angemnyang'anya walkie talkie yake na kuitupilia mbali!!! unamteka mtu halafu unamwachia walkie talkie??!!
 
Naipenda sana Tanganyika.

Mtekwaji anawasiliana na wenzie na kuwaambia alipo!

Mtekaji naye anaangalia tu.
 
Kwanza sheria inasema sio lazima dereva aonyeshe leseni yake hapo hapo atakapoombwa na trafiki polisi.

Inawezekana kutokana na haraka alizonazo dereva aliisahau nyumbani au sehemu yeyote hivyo alikuwa na haki ya kupewa muda ndani ya masaa 24 aiwasilishe kituo cha palisi.

Sasa huyo askari kukomaa mpaka kudandia gari ya mtuhumiwa ni kimbele mbele chake.

jamaa kama ana mwanasheria mzuri anaweza akamfukuzisha kazi huyo askari.

Police misconduct cannot be challenged on the street
 
Kuna mzee mmoja wa kituoa cha baruti kama si Kibo na yeye mwanzoni mwa mwaka huu alimteka trafiki wa kiume na aliendesha tax kwa mkono wa kulia huku mkono wa kushoto ukiwa umemdhibiti afande huyo dhaifu huku mlango ukiwa wazi kutoka kibo hadi Msewe kuelekea Golani.
Trafiki alipoona anazidiwa ikabidi apige simu kwa wenzake, so wakaja spidi na gari nyingine, kwa sababu mzee ilikuwa vigumu kubadili gear kirahisi wakamkuta.
Walichofanya, mmoja akaruka na kuikimbilia ile gari. Ile anaingiza mkono tu na yeye akadakwa na gari ikapoteza uelekeo kwa sababu alikuwa ameshawadhibiti askari wawili huku gari inatembea.
Ili kujiokoa, ikabidi wambane pumbu na akakanyaga breki mwenyewe.
Ila mzee aliwabana kisawa sawa hadi wanatoka pale walikuwa wanapumua kwa shida kutokana na kibano.
Wakampandisha kwenye gari kwa mbwembwe za ulinzi mkali kana kwamba ni gaidi la kimataifa linalopelekwa quantanamo huku wakisema huyu lazima akanyee debe, anamteka afande!
Eboo! Mzee alilala tu pollisi siku ya pili road ka kawa.
 
hahahahah
yaani usikute huyu aliyemteka ni mkaka mmoja nlimsikia kwene daladala akilalamika kuwa kachoka na hawa matrafiki polisi kwani iko siku atamteka mmoja ampe kichapo cha haja
pole bidada kwa kutekwa unajuwa wapi watu wametoa magar wengne hata wake za hawayapandi sembuse wewe
 
Twende kituoni sawa. Kuingia kwenye gari yangu hata siku moja! tembea nitakufwata nyuma kama huna pikipiki zenu au gari .
 
Back
Top Bottom