Trafiki "feki" akamatwa akila vichwa live

Trafiki "feki" akamatwa akila vichwa live

Ni kweli aisee maana mavazi yake yamemtoa kweli kweli lazima uuingie mkenge akikusimamisha kwa nia ya kutaka kukutoa upepo.

Huyu ni mjasiriamali aisee, hizo idea ndio zinatakiwa-anatumia uoga na udhaifu wa madereva kuishi mjini. Dah bonge la idea sio mchezo...I tell you hatafungwa
 
Kuna movie ya kitambo sana ya ice cube, sijui inaitwa high school? Alisimamishwa na polisi akaambiwa 'show me your id'. Akamjibu 'show me yours first!'

Napata picha hasira za polisi akidaiwa id. Atakupiga fine hadi ya gari kuwa chafu na haijafanyiwa service!
Nadhani Kova alitakiwa awaambie wanachi wawe wanawaulizia vitambulisho maaskari, kabla hawajakubali kuhojiwa nao...
 
Kuna movie ya kitambo sana ya ice cube, sijui inaitwa high school? Alisimamishwa na polisi akaambiwa 'show me your id'. Akamjibu 'show me yours first!'

Napata picha hasira za polisi akidaiwa id. Atakupiga fine hadi ya gari kuwa chafu na haijafanyiwa service!

Unajua Kenya (KTN nadhani) wana kipindi kwenye TV ambacho watangazaji (kwa ruhusa ya polisi), wanajifanya polisi, japo hawavai uniform lakini wanakuwa na radio call za uongo. Wanakamata watu, wanahoji nk, huku kukiwa na camera za siri. Ukiona jinsi watu wanavyoogopa na kuhonga huku wakidhani ni polisi wa ukweli utacheka sana. Mwisho wa siku lakini wanajitambulisha na kuasa kuwa ukikamatwa umuulize afande kitambulisho.
Walinifurahisha siku moja walienda kituo kidogo cha polisi, wakasema wao ni maofisa toka makao makuu. Askari wote including mkuu wa kituo wakawapigia salute. Tena mkuu wa kituo ilibidi aombe msamaha maana alikutwa yuko mgahawani masaa ya kazi... Ila pale hawakujitambilisha, waliondoka kimya kimya...
 
Kumbe haya mambo yanawezekana aisee.....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna movie ya kitambo sana ya ice cube, sijui inaitwa high school? Alisimamishwa na polisi akaambiwa 'show me your id'. Akamjibu 'show me yours first!'

Napata picha hasira za polisi akidaiwa id. Atakupiga fine hadi ya gari kuwa chafu na haijafanyiwa service!

'Show me yours first' nimeipenda hiyo. Inaitwa mbwa kala mbwa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hii ni kudhihirisha kuwa usalama barabarani umegeuka ujariamali barabarani. Watu wanaona jinsi vile askari wa usalama barabarani wanavyochukua rushwa kila pahala, imekuwa ni nafasi adimu ya kujipatia chochote kirahisi na kupelekea wenye uthubutu kuamua kufanya zoezi hilo ili kuendesha maisha.
 
Ha Ha Ha!! Jammaa noma kweli!! Utadhani afande kweli. Tena kafeki na cheo yaani yeye sajini!! Duh!! Kweli maisha magumu, jamaa anaonekana mzee sana wakati ana miaka 45 tu!!!
 
Kaweza kuwa na kofia, uniform na kijaketi stashindwa kuwa na kitambulisho? Cha msingi ni wale wanaokamatwa kukubali kwenda kituoni ndo mwisho wa mchezo lkn ukitaka shortcut basi unamsaidia mtanzania mwenzio aliyebuni mradi
 
Mkuu inakua ngumu kuwa shupavu kwani tunaendesha magari mabovu na ukizingatia barabara zenyewe ndo usiseme. Kisa cha kutoa faini ya 20,000 kwa kila kosa wakati nikimpa turafiki 3000 naendelea na safari.

Well said Madam...
Isitoshe hata nikilipa hiyo 30,000 mafisadi wanaila halafu wanaamuru tupigwe..
Si ni bora kumchangia Mlalahoi mwenzangu tena pesa kidogo tu?
 
Yote kwa sababu rushwa imeota mizizi Tanzania, huyu trafiki "volunteer" asingefanya hii kazi isingekuwa sababu ya kupata rushwa kutoka kwa madereva.
 
Jamani! Mmi naona huyu trafiki feki ni mtu ambaye alikuwa polisi wa usalama barabarani na alifukuswa kwa rushwa. Mana asinge wezakujuwa kama kuna pesa zabule bezi tangibovu, nahayo yatakuwa ndo yalikuwa maeneoyake ya kazi. Enzi hizo kabla hajawa------tapeli.
 
Wamwachie tu maana maisha ndiyo yamemfikisha hapo na kuchukua hatua ya kujifanya trafic ili apate ridhiki. Kingine alikuwa anahakikisha usalama barabarani
 
isije kuwa wanamkana kwakuwa amefichua siri za wakubwa,maana hawa jamaa hawafai
 
huyu jamaa ni very creative , hence, he deserve to be a genius coz ni mafia aliyepikwa akapikika.
 
Tanzania tuna wajasiriamali wengi mno sema tatizo lipo kwenye mianya na fursa ambazo tunaziona. Hatari sana.
 
Hata mm ningemtilia shaka kwani ukiangalia hizo picha amevaa sare za kufanana na askari wa usalama barabarani ila hana namba ya uaskari kifuani kwake.
 
Twende mbali zaidi alipata wapi ujasiri wa kufanya hivyo? Alipata wapi uniform za jeshi la polisi? Alipata wapi kitabu cha notification? Ukiangalia kwa makini ana watu ndani ya jeshi aliokuwa anashirikiana nao ambazo ndio walimpa vitendea kazi na mwisho wa Siku kupeleka hesabu
 
Back
Top Bottom