Trafiki "feki" akamatwa akila vichwa live

Trafiki "feki" akamatwa akila vichwa live

Uniform zinauzwa wapi ndugu zangu?? Nikiwa na vijana wangu 5 uchochoroni kila kichwa 20 kwa siku kwa wiki nna laki. Kie kie kie kie
 
hata mkimkamata leo, kashamaliza kujenga nyumba mbili, kasomesha watoto kwa kazi hii hii.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Binadamu tuna akili sana.....!! Jamaa atakuwa kaweka mazingira yake fresh kabisa kupitia kazi hii...!!
 
kudadadekiii hapa mjini ... uwe mtaalamu tu wa kung'amua fursa zilizopo... haha jamaaa alikuwa anajilia kiulainiii...!!
 
  • Thanks
Reactions: awp
Ni udhaif wa jesh la polc na ni aibu kwa taifa.m2 awez kua na hzo uniform akasmama barabaran bila hof yoyte,hatujui ameanza iyo kazi lin,pengne ameanza kazi tangu miaka 10 iliyopta,nway m nt hapy ov it.
 
New+Picture+(6).png


Naona wamesahau kuongeza kwamba wananchi walimtambua kwamba ni askari feki baada ya kuona hana kitambi kama askari wengine wa usalama barabarani! Angalia huyo askari kanzu karibu naye
 
sijui ameifanya kazi hii kwa muda gani? na inawezekana alikuwa na mikwara kibao akiwa kazini
 
Sasa huyu fungu alikua anapeleka wapi? Wenzie wakishapiga "bao" fungu kubwa linaenda kwa mabosi wao. Huyu nadhani alikua anakula bata mwenyewe ndo maana wamemchoma. Teh etehe tehe tehe
 
Angekua amekamatwa na madawa ya kulevya asingeonyeshwa ivo.
Mbona yle mzungu weia ATM hakudhalishwa ivo mbele ya waandishi wa habari?
Mbona yle polisi wa Mwagosi hakuinyeshwa ivo?
Mbona hatujaambiwa kuwa Ponda kashapatikana? make walikua hawajui alipo.
 
sasa nyie mmemkamata watoto nani atawasomesha, mtu anajiajiri..kizuri zaidi amesaidia kupunguza ajali...angekvaa kiraia mngemchukulia mwendawazimu...kwa kuwa watanzania wanaabudu sare, ndio maana akawa mbunifu...
 
ubunifu mwingine bwana; unahiataji sana ujasiri! fikiria kama haya yanafanyika mchana kweupe usiku je? yawezekana hata maaskari wengine wamepishana naye tu! yawezekana ameendesha maisha yake mara kadhaa kwa staili hii.
 
Riafande ,liko seriouz kweli,yaani kama Trafick kabisa.Kweli nchi yetu njaa imezidi.na yawezekana wapo wengi tu,serikali na wananchi waangalie jinsi ya kupambana na watu hawa.
 
aahahahaaaa Huyu jamaa mbonge ya m bunifu yaani kaona bora kuchangisha hutu tufisadi tudogo twenye vigari kuliko kula hela ya mlala hoi ya madawa na vyandarua
bigiiiiiiii bigiiiii upu akitoka aangalie namna ya kuboresha huo mradi, aufanye digital zaidi
 
Huyu mwenzao, kesi itajifia yenyewe tu kiaina. Kwanza askari hawatoshi nchi hii
 
Ndo maana uhalifu ni mwingi tanzania kwani muda wote huo serikali ilikuwa wapi! Yaonekana ana bifu na mtu, ndo maana wamemchongea,
 
Kuna movie ya kitambo sana ya ice cube, sijui inaitwa high school? Alisimamishwa na polisi akaambiwa 'show me your id'. Akamjibu 'show me yours first!'

Napata picha hasira za polisi akidaiwa id. Atakupiga fine hadi ya gari kuwa chafu na haijafanyiwa service!

Unajua Kenya (KTN nadhani) wana kipindi kwenye TV ambacho watangazaji (kwa ruhusa ya polisi), wanajifanya polisi, japo hawavai uniform lakini wanakuwa na radio call za uongo. Wanakamata watu, wanahoji nk, huku kukiwa na camera za siri. Ukiona jinsi watu wanavyoogopa na kuhonga huku wakidhani ni polisi wa ukweli utacheka sana. Mwisho wa siku lakini wanajitambulisha na kuasa kuwa ukikamatwa umuulize afande kitambulisho.
Walinifurahisha siku moja walienda kituo kidogo cha polisi, wakasema wao ni maofisa toka makao makuu. Askari wote including mkuu wa kituo wakawapigia salute. Tena mkuu wa kituo ilibidi aombe msamaha maana alikutwa yuko mgahawani masaa ya kazi... Ila pale hawakujitambilisha, waliondoka kimya kimya...

Kuna hii ya ukweli kabisa mtoto alimrekodi polisi aliyekuwa amepaki pikipiki yake sehemu ambayo ni kinyume na sheria.

Mtoto alipomwuliza badge number yake, polisi naye anamwuliza mtoto are you a lawyer as if mwanasheria tuu ndiye haki ya kuona badge number yake

[video=youtube_share;72eu1Imbu0c]http://youtu.be/72eu1Imbu0c[/video]
 
Back
Top Bottom