Trafiki apigwa Ubungo mataa

Trafiki apigwa Ubungo mataa

Ni baada ya kusababisha ajali.


attachment.php

Hapa akipakizwa kwenye bajaji kumuepushia kipigo zaidi.

Aligonga? au aligonganisha? unapoleta umbea wako jaribu kuukamilisha.
 
Hata sikuchukua... ni wa pale ubungo alikua mwanaume na mwanamke huyo mwanamke ndio akawa anasema hayo ya kutubambikia kosa jingine tusipompa hela.

Una uhakika unachokinena? kama ndivyo cku nyingine unanakili namba zake za jeshi ili umfuatilie kwa hatua zaidi mkuu.
 
Una uhakika unachokinena? kama ndivyo cku nyingine unanakili namba zake za jeshi ili umfuatilie kwa hatua zaidi mkuu.

Ndio nina hakika na ninachokinena....

Siku nyingine nitafanya hivyoo Mkuu nilikua sijajua
 
Ipo siku akina, mkulu na mtoto wa mkulima watapewa kichapo kama huyu trafiki.

Mkulu aliwahi kukoswakoswa mawe pale Mbeya mwaka flani siukumbuki. Dharau zake pamoja na udhaifu wa kukenuakenua ndo vinasababisha mambo kama haya.
 
Wapigwe tu......... Leo asubuhi katusimamisha anaanza kudai ela

anaambiwa hela hakuna eti kama hakuna hela anaongeza kosa jingine

yule trafik aliniboa sana asubuhi..

mama.




zake hana adabu.hajui imepakia mtu mkubwa kama weewe pambavu.zaoo ulichukua namba.zao.


pw
.xxxx
 
Ni baada ya kusababisha ajali.


attachment.php

Hapa akipakizwa kwenye bajaji kumuepushia kipigo zaidi.

mpwa awa jamaa dili ni.kofia

ukiona anapigwa wahi kofia pesa za dili zote.zinawekwa ndani ya.kofia.sikuyake.inageuka.manyoya
 
ata.uwasachi makalio awana hela namwonajama nyumayake anampapasa papasa kachemka angewahi kofia ile kuna crdb/exim za kutosha
 
loh janaume zima unataka umbea upeleke kwa mkeo
 
Kumpiga polisi aliye kazini ni kosa. Walofanya hivyo wajipange kuikabili sheria endapo itafuatwa.

Ni kweli. Ila wao ndio wanatakiwa kumpiga mtu bila sababu yeyote. Naam si waliambiwa "wapigwe tuu". Uadui unaongezeka kwa sababu zilizosababishwa na kauli za viongozi.
ImageUploadedByJamiiForums1413270053.560822.jpg
 
Sio Mkuu wa Jeshi hilo peke yake anayewachukia trafiki bali ni watu wengi wenye kutumia barabara, naye akiwa mmoja wapo.
Kuna kero sana barabarani.Yani mtu akiwaona trafiki mbele yake anaona janga la kuchomoa hela zake.Yani ukisimamishw lazima hela itoke bila hata kosa.Ukiuliza kosa lako nini nini mbona unacheleweshwa basi inakuwa tabu kabisa.

Wakubwa wao wamefanya makusudi kuweka viwango vikubwa vya makusanyo kwa siku kwa kila trafiki ili wananchi wapige kelele na kitengo hiki cha kula rushwa rushwa kiondolewe kuepusha lawama zinazolichafua jeshi.

Nasikia kuna askari mmoja aliwahi kununua utrafiki kwa sh. 2,500,000/= kwa kukopa benki kabisa.Sasa sijui atazirudishaje.Wanawake wanaingia kwa rushwa ya ngono.
Hapo usitegemee mtu mwadilifu kama Mangu kukipenda kitengo cha namna hii.

Cha msingi ni kurudisha suala la barabara na matumizi yake kwenye wizara ya miundo mbinu yenye chuo cha usafirishaji.Polisi wabaki na misafara na road block kuzuia magendo.

Mwakyembe aunde chombo maalum kikichojaa wasomi wa vyuo mbalimbali hata kama atawachukua huko polisi lakini kisiwe na hulka za kijeshi na vitisho.
Mbona huko baharini na angani hawahusiki polisi kwenye kutoaadhabu zaidi ya kuimarisha ulinzi tu?

mi.siku.nikitoka.na gari.nasali.kabisa Mungu shusha mvua.nipite.na amani easy

kuna.siku walinikamata kawe darajani kilakitu kiko sawa akaingia ndani embu washa.redio yako nzima....musicheke ni live yaani nilicheka kabla kuwasha akaishia kuchukua sambusa za.royal oven zilikuwa pale.mbele
 
Uongozi Mpya wa taasisi ndogo kama Polisi utasaidia nini?
Yaani hujajua mpaka dakika hii tatizo liko wapi-Mkuu tembelea Magogoni labda utanong'onezwa udhaifu uko wapi!
Polisi hawana kosa muda mwingine ,unaweza kuta jamaa nyumbani hajaacha hata senti kwa ajili ya maandazi sembuze Mlo kamili ,alafu akina Sita wanachukua 300,000per day na bado wanataka za UKAWA unategemea nini kitatokea kwa askari.

Na hiyo haitoshi
How $270-million IPTL deal was planned and executed ...
They tell me a weak king is much much worse than a stupid elephant
 
Yote ya nini mpaka umkwide traffic! au umpige? kasababisha ajali basi ita askari mwingine apime ajali then mkatoe maelezo tumegongana sababu hii na hii.! na yeye ni binadamu ana mapungufu yake sio mnakurupuka wengine hapo ni ushabiki wa kijinga..!!

nickson

wajinga wanafundishwa adabu na wajinga wenzao hata mi ningemchapa makofi unajua kwa nini???

akipelekwa huko anaachiwa
 
mi.siku.nikitoka.na gari.nasali.kabisa Mungu shusha mvua.nipite.na amani easy

kuna.siku walinikamata kawe darajani kilakitu kiko sawa akaingia ndani embu washa.redio yako nzima....musicheke ni live yaani nilicheka kabla kuwasha akaishia kuchukua sambusa za.royal oven zilikuwa pale.mbele

ha ha haa..jf burudani tosha.
 
Back
Top Bottom