Dengue
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 2,050
- 1,469
We ndo unatetemeka wakati wakusoma huoni heading inasema ubungo mataa???
Punguani wahed!!!!
Hahhahahah
We ndo unatetemeka wakati wakusoma huoni heading inasema ubungo mataa???
Punguani wahed!!!!
Walompiga ***** zao
Ndg kosa moja haliahalishi kosa lingine kams askari wanaonea raia katika mazingira fulani raia nao wana haki ya kujitetea lakni kwa mazingira haya ya barabarani raia hawatakiwi kuwa chanzo kwa kuwashambulia walinzi wa amani/askari.Na kumpiga raia asiye na kosa? Au kumpiga mwandishi wa habari akiwa kazini? Mfano wa majitu ya aina yako wkiwa wengi ktk nchi ndivyo nchi inavyozidi kuwa hovyo. Hao watu wajinga sana sijawahi kuona. Mi ningekuwa Dar pindipo wangenisimamisha, ningekuwa nampiga busa la mchubuko tu.
Jela utaiweza!! Au mlitegemea nini baada ya kuvunja sheria?
Mkuu, hukuchukua hata no yake ile ya kwenye uniform? Au kama vipi mtaje tu ni wa sehemu gani!
dah ..mzazi wa mtu huyo....
Ahaa wanajifikiria wao tu na maslahi yao
Naskia huyu mkuu wa jeshi wa sasa hawapendi traffic kabisa. Labda ndio maana raia wanawadharau.
tunapolekea sio kuzuri kabisa!
...sema tulipofika,we watu wanachakachua hadharani kura za kupitisha rasimu kwa maslai binafsi na rais anachekelea unaona hii nchi inajitambua kweli...?
habari nzuri sana hii, hongereni raia
"Na Wapigwe tu maana tumechoka"--Mr. Nyooka