Trafiki apigwa Ubungo mataa

Trafiki apigwa Ubungo mataa

Dear Graca Machel

You married Samora Machel & he died
You married Nelson Mandela & now he is dead!
In conclusion every man that you marry dies!
So
Please marry samuel sitta for us!

Yours Faithfuly
Tanganyika
 
Tabia za trafiki kukamata magari na kudai pesa katika siku za karibuni zimekithiri,tena Dar wamejazwa kila kona ni wengi,si ajabu wananchi nao wanaanza kuja juu,hiyo ni reaction!mengi yatafuatia as long as kuna action,reaction itaendelea kuwepo.Tujiulize,ni kwa nini vyombo vya sheria vikose ushawishi katika kuwaongoza wananchi kusimamia sheria?Hivi raia wameamua kuwa "toto tundu" ghafla tu,bila sababu?
Msichokiona watawala ni kuwa wananchi wakichoshwa na sehemu ya mfumo,wanauona mfumo wote mbaya!
Jk and co,hili jeshi lenu la Polisi litawaponza sana msipokuwa makini.Nawaangalieni tu,haya!

Tena wapigwe sasa hivi wamejaa kila barabara wao ni kuonea watu na kuandikisha makosa ya uongo kwa waendesha magari wao wanataka elfu thelathini wananchi wamewachoka ukichangia na ugumu wa life bora hiyo hela wangekua wanafanyia la maana wamezigeuza zao hata kama huna kosa wana kokomesha bora tu wawe wanapigwa
 
hahahahahaha

mpwa kofia naona ilishatangulia mbele ya haki kama sijakosea

hapo ni receipt na notification book peke yake ndivyo vilivyobakia.

haaaaaahaaaaa mpwa nimeona jamaaa wanatakaaa kuvua na vest loh awana akili awa
 
Dear Graca Machel

You married Samora Machel & he died
You married Nelson Mandela & now he is dead!
In conclusion every man that you marry dies!
So
Please marry samuel sitta for us!

Yours Faithfuly
Tanganyika

Mkuu Eli
Nyerere Day Njema tukutane clabash kukusanya sadaka
 
HUYU JAMAA WA NYUMA AMETOA MACHO HUKU ANAMSOGELEA JAMAA ANATAKA NINI EMBU NISAIDIE MLIE KUWA KWENYE KASHESHE

attachment.php
 
:flame::flame:JAMAA WALIMPA SHUGULI YA MAANA NAANGALIA KWA MBELEE RUNGU LIMETUNA SI MCHEZO APO UKIMWONYESHA CHOO MKOJO UNATOKA PWAAAAAAA CHEZEA KICHAPO WEWE:flame::flame:
 
HUYU JAMAA WA NYUMA AMETOA MACHO HUKU ANAMSOGELEA JAMAA ANATAKA NINI EMBU NISAIDIE MLIE KUWA KWENYE KASHESHE

attachment.php

Mpwa huyu jamaa alichelewa, kwa hiyo alikuwa anaomba njia apishwe afanye yake na yeye lakini alizuiwa kutimiza azma yake hiyo.
 
Watz tumekuwa watu wa ajabu sana; hivi no ajabu binadamu kufanya makosa? Trafiki kama binadamu huchoka na hata kufanya makosa.

Nadhani waliompiga hawana akili, wanafanana na washabiki au wachezaji wa timu ya mpira wa miguu wanaompiga refa baada ya kukosea kutoa uamuzi sahihi. Waliohusika wanapaswa kuchukuliwa hatua kali kwa kumuabisha binadamu mwenzao kwa tukio la kibanadamu kabisa.

Vv
 
Mpwa huyu jamaa alichelewa, kwa hiyo alikuwa anaomba njia apishwe afanye yake na yeye lakini alizuiwa kutimiza azma yake hiyo.

Inasikitisha sana, mahusiano baina ya Raia na Polisi yamedorora kiasi hicho.

IGP na Askari wake inabidi wafanye kazi ya ziada kujenga imani ya wananchi kwa jeshi la Polisi.

Vv
Vv
 
Watz tumekuwa watu wa ajabu sana; hivi no ajabu binadamu kufanya makosa? Trafiki kama binadamu huchoka na hata kufanya makosa.

Nadhani waliompiga hawana akili, wanafanana na washabiki au wachezaji wa timu ya mpira wa miguu wanaompiga refa baada ya kukosea kutoa uamuzi sahihi. Waliohusika wanapaswa kuchukuliwa hatua kali kwa kumuabisha binadamu mwenzao kwa tukio la kibanadamu kabisa.

Vv

Jiulize kwa nini hao watz wawe hivyo sasa?kwa nini wamekuwa wa ajabu sasa?
TAFAKARI!
 
Back
Top Bottom