Imussa174
Member
- Sep 27, 2014
- 52
- 6
unauliza mwenzio
we una uhakika unacho kinena??
Sina kinena mkuu.
unauliza mwenzio
we una uhakika unacho kinena??
mpwa awa jamaa dili ni.kofia
ukiona anapigwa wahi kofia pesa za dili zote.zinawekwa ndani ya.kofia.sikuyake.inageuka.manyoya
Wewe jamaa mpotoshaji sanaHao jamaa wakikukamata katika 18 zao hawana msalie mtume tena kwa nyodo sana wanakwambia ulipe 30000 ambazo hata haziingii kwenye mfuko wa serikali na bado wanakunyanyasa utafikiri ni kosa kuwa na chombo cha usafiri, mbaya zaidi wanakupa notifications ambazo zimepitwa na wakati,FAKE, ukigoma unapewa choice au uache chombo chako cha usafiri mpaka utakapo pata hiyo chenji.
hata sikuchukua... Ni wa pale ubungo alikua mwanaume na mwanamke huyo mwanamke ndio akawa anasema hayo ya kutubambikia kosa jingine tusipompa hela.
ha ha haa..jf burudani tosha.
bora hata hawa...huyo amechezea kichapoo😕😕😕
habari nzuri sana hii, hongereni raia
Hahahahahaha
Mpwa kofia naona ilishatangulia mbele ya haki kama sijakosea
Hapo ni Receipt na notification book peke yake ndivyo vilivyobakia.
Lakini kweli mnao ushahidi IGP anawaka trafiki wampelekee sh 150,00 kila mmoja kila siku? IGP Mangu ninayemfahamu hana tabia hii, na huenda akadai ushahidi wa tuhuma hizi nzito!Mavuno ndio hayo
Hii ni kwamba wananchi wamechoka na uonevu unaofanywa na askari
Huko tunakoelea hakuvutii kabisa
Ila sijui kama wanaona kuwa hizi ni dalili za wananchi waliochoka
Sina kinena mkuu.
Lakini kweli mnao ushahidi IGP anawaka trafiki wampelekee sh 150,00 kila mmoja kila siku? IGP Mangu ninayemfahamu hana tabia hii, na huenda akadai ushahidi wa tuhuma hizi nzito!
ikifika zamu ya wanajeshi kupewa kichapo mniambie
dah ..mzazi wa mtu huyo....
Duh!
Kunahitajika uongozi mpya wa kulijenga upya jeshi la polisi!Maana inapofikia watu bila aibu wanamkwida `msimamizi` wa usalama,basi ujue kuna tatizo kwenye mfumo wa usalama wa nchi!
Leo askari atapigwa ,kesho watu wataunda jeshi kulinda makazi yao,misikiti yao,makanisa yao,mikoa yao na mwisho NCHI YAO!
GOD FORBID!!!