Ni baada ya kusababisha ajali.
![]()
Hapa akipakizwa kwenye bajaji kumuepushia kipigo zaidi.
ikifika zamu ya wanajeshi kupewa kichapo mniambie
Kumpiga polisi aliye kazini ni kosa. Walofanya hivyo wajipange kuikabili sheria endapo itafuatwa.
Pesa anayotuibia kila siku inamtosha kulewa na kupakata WPs.Halafu sura ya traffic officer mwenyewe imekaa kilevi ni haki apigwe looks like aliingia kazini akiwa ameutwika
Mavuno ndio hayo
Hii ni kwamba wananchi wamechoka na uonevu unaofanywa na askari
Huko tunakoelea hakuvutii kabisa
Ila sijui kama wanaona kuwa hizi ni dalili za wananchi waliochoka
ulikuwa una tetemeka nini wakati unaleta habari?.Hapa wapi?
Pesa anayotuibia kila siku inamtosha kulewa na kupakata WPs.
Ama kweli huu ni mwaka na mwezi kwa TRAfiki hapa Tanzania kwani kila uchao ni mwendo wa series za matukio ya trafiki. Il nao wamezidi kwa majanga inabidi wajitathmini na kwenda kutubu ili kupunguza munkari wa upanga wa moto unao wanyemelea. Kwani akumbuke zimwi likujualo halikuli ukakwisha...Ni baada ya kusababisha ajali.
![]()
Hapa akipakizwa kwenye bajaji kumuepushia kipigo zaidi.
Wapigwe tu......... Leo asubuhi katusimamisha anaanza kudai ela
anaambiwa hela hakuna eti kama hakuna hela anaongeza kosa jingine
yule trafik aliniboa sana asubuhi..
Ni baada ya kusababisha ajali.
![]()
Hapa akipakizwa kwenye bajaji kumuepushia kipigo zaidi.