Trafiki apigwa Ubungo mataa

Trafiki apigwa Ubungo mataa

Kumpiga polisi aliye kazini ni kosa. Walofanya hivyo wajipange kuikabili sheria endapo itafuatwa.
Hivi kweli wewe unaamini kuwa kuna sheria nchi hii?, nenda katafakari uone kama unachokitetea kina mantiki. taratibu watu wanahama kutoka kuwachoma vibaka wanaoiba kwa ajili ya njaa kwenda kwa vibaka wanaoiba ili kudumisha status zao. inatokea katika nchi zingine na taratibu inaingia TZ. Stay tuned.
 
Hongera sana kwa Waliompiga.


Mimi binafsi nimepanda kuanza kutembea na kidumu cha Tindikali...... Kama mbwai mbwai tu ....

Trafiki akinipiga mkono namnawisha Usoni na Tindikali.....

Nimechoka hawa Jamaa kunifanya kitega uchumi chao... Pambaf zao....
 
Yani ningekuwepo ninge penya hadi hata nimfinye tu kidogo!!
Mimi hawa watu na askari yeyote hata nimwone anakufa hapo, nitaenda jibu nikifa tu! Kama nitaulizwa!
 
Bora hata hawa...huyo amechezea kichapoo😕😕😕
Hawa kwa hakika wanapendana. Hiyo pose tu inathibitisha hilo,tatizo ni wakati na mtu aliyenasa tukio. Baada ya kufukuzwa waendelee tu kudumisha upendo na watangaze hadharani kwani inaweza kuwa njia ya kutoka kwa kuwa watu mil.40 wangependa kujua kilichotokea.
 
Yani ningekuwepo ninge penya hadi hata nimfinye tu kidogo!!
Mimi hawa watu na askari yeyote hata nimwone anakufa hapo, nitaenda jibu nikifa tu! Kama nitaulizwa!

mleta post asante sana kwa kuleta picha HD kabisa wengi wameonekana lazima wawe wa mfano ngoja watiwe ndani mpaka wajue kitu kibaya sana kumkwida askari ...mpaka utii wa sheria bila shuruti uwaingie kisawasawa hawa raia pia nashangaa wa askari wa pikipiki walikuwa wapi ili wawapatie kipigo hao raia washenzi?
 
Mi nao kama kipigo hakijakolea maana ukiangalia vema desherere yake iko tayari kwa shughuli ya starehe. Siamini kama kipigo kimekolea.
 
Ni baada ya kusababisha ajali.


attachment.php

Hapa akipakizwa kwenye bajaji kumuepushia kipigo zaidi.

Umesoma wewe hata kuandika hujui!
 
Mh???,hebu utuletee na mwendelezo sasa baada ya hapo.
 
Kumpiga polisi aliye kazini ni kosa. Walofanya hivyo wajipange kuikabili sheria endapo itafuatwa.

Nawapa hongera kwa kumpiga wao kila sehemu na kidaftari cha kuandikia watu makosa ya uongo na faini hawafanyi kazi zao wapigwe kabisa wamechosha na virushwa vyao
 
Kumpiga polisi aliye kazini ni kosa. Walofanya hivyo wajipange kuikabili sheria endapo itafuatwa.

Na kumpiga raia asiye na kosa? Au kumpiga mwandishi wa habari akiwa kazini? Mfano wa majitu ya aina yako wkiwa wengi ktk nchi ndivyo nchi inavyozidi kuwa hovyo. Hao watu wajinga sana sijawahi kuona. Mi ningekuwa Dar pindipo wangenisimamisha, ningekuwa nampiga busa la mchubuko tu.
 
Back
Top Bottom