Tracing mobile phone | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tracing mobile phone

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Inkoskaz, Mar 19, 2012.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Wakuu..
  kwa bahati mbaya nimemtumia mtu pesa kwa makosa dakika chache baadae nilipogundua tatizo nilijaribu kupiga ile namba ikawa imezimwa,nikapiga vodacom m-pesa wakasema pesa imechukuliwa mudamfupi baada ya kutumwa.
  Kesho yake ile namba ikawa hewani,juhudi za kuipigia hazikuzaa matunda kwani hakupokea,tukamtumia msg kuwa tumeshajua jina lake na location yake yupo Moshi hivyo arejeshe hizo pesa kwani ushahidi kamilitunao..hapo ikaanza danadana mara simu ilizima mara oh mnanitisha marakosa ni la nani lakini lastly akaconclude kuwa do whatever yo want
  Vodacom wameassist kublock account na kutupa location lakini police bado hawajampata na simu yake anawasha kwa machale
  Je kuna mbinu nyingine ya kuweza kumtrace mtu at least nearby na mahali alipo?
  Kwa kuzingatia makosa ya kiubinadamu hivi mtu akikosea akautumia pesa hutakiwi kumrejeshea?
  Take position ya mtumaji au ya mtumiwaji kuwa ni wew na ulikuwa na dharura like ugonjwa,msiba etc
  Kama kuna mdau ana knowledge zaidi ya kubana watu wa aina hii atumwagie kwa faida ya wengi..najua ni mambo yanatokea kila siku japo mimi nahesabu hasara lakini at least huyu aliyejisevia apate haki yake..
  bila kusubiri kuulizwa huyo mtu aliyetumiwa namba yake ni0754 525862 jinsia ni ke anaitwa Elinaike Makundi
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Duu mchaga kwa pesa!maana pesa zote duniani wanafikiri ni zao kama vile mmasai na ng'ombe.ALLAH atakupa zaidi samehe!
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Dah . Hiyo sijui kama utakaa uipate. Ndio weakness za mobile pesa .
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Bongolala..nimesamehe ila nikifikiri ingekuwa ni mtu katumiwa salary yake yote halafu imepotea njia angesurvive vipi
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  kwa kweli ni majaliwa,ila su jambo jema
  niliwwhi kutumiwa 30,000 kumbe ni ada ya mtoto nilipoirejesha jamaa hawakuamini wakanitumia 3,000
  Jamaa mwingine aliwahi kukosea kumtumia rafiki yangu..tulipompigia jamaa akasema ni kweli nimeingiziwa 40,000 lakini dakika mbili zijazo nitazichukua hapo kwa wakala maana nipo vibaya ila tuwasiliane kesho saa kumi...aisee tukawa wapole lakini kesho yooake kumi kasoro dk mbili tukasikia kimeseji kimeingia jamaa akazirejesha na
  kisha akapiga simu kuconfirm
  alijipa soft loan keshi yake akarudisha bila riba
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Hao Vodacom hawajawasaidia vya kutosha, inategemea na userious wenu labda kutokana na kiwango chenyewe cha pesa. Voda wanaweza kupata jina la huyo jamaa na utambulisho wake kamili (?), then wanaweza kutrace anawasiliana sana na nani, mnaweza kutumia watu anaowasiliana nao kufika karibu naye kwa urahisi, then kwa kushirikiana na police...BUM...HUYU HAPA!:scared:
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  ni kweli mku..amount ni 72K Na hilo la watu anaowasiliana nao tumeliona lakini tukaona tutajichosha na kuwasumbua tu..ipo siku atajichanganya mwenyewe
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Is there any method to trace the location of the mobile phone?
   
 9. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  bora umtafute ana kwa ana ila usitegemee itafika wakati ataweka pesa ktk account yake maana anajua atakatwa tu juu kwa juu, pole! Kuhusu kutrace huyo jamaa nadhani ni ngumu ingawa mtandao husika unaweza kukusaidia vizuri zaidi ikiwa utakidhi vigezo vyao vya kutoa hizo details
   
 10. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  ni kweli mkuu..ila watu tunatofautiana maadili..how comes you swindle money which is not yours
   
 11. Lenana

  Lenana JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 422
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Pole sana mkuu ndio Tanganyika zaidi ya uijuavyo!
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  ignorance-mtu kutokujua sheria hudhani sio kosa
   
 13. tcoal9

  tcoal9 JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa faida ya wanajamvi wote iwapo utapatwa na tatizo kama hili piga namba 15366 pindi tu upokeapo meseji ya mpesa na kubaini kuwa umekosea utumaji wa pesa. Muda huo huo watazui fedha uliyotuma na kuirudisha kwenye account yako ya Mpesa ndani ya masaa 24.
   
 14. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,041
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Yesuu na maria babangu pesa na mchaga ni kama wangoni na mademu
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  unaposema ndani ya masaa ishirini na nne ni kuwa hiyo account ya aliyepokea inakuwa imezuiliwa? Au wkt huo anaweza kwenda kwa mtoa huduma akatoa na pesa?
   
 16. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  yani pamoja na watu kufanya registration bado haya yanatokea, aisee!
   
 17. P

  Paul S.S Verified User

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Sidhani mkuu kama kuna namna unaweza kutrace location ya simu ilipo zaidi ya kujua simu inatumia mnara wa sehemu gani.

  Kinacho nishangaza katika hili ni namna Vodacom wanavyoshindwa kuwasaidia wateja wanapopatwa na shida kama hii
  Nilitaraji labda Voda watawasiliana na mwenye kutumiwa pesa kimakosa na kumtaka azirejeshe haraka, na akikaidi basi wao kama Voda ndio wenye access zote na mamlaka kisheria kutafuta namna ya kumpata huyo mtu kwa kuwabana hata watu anao wasiliana nao mara kwa mara ambao wanaweza kumshawishi arudishe hizo pesa.
  Au kublock no zao na wakija ofisini wataelezwa wasaidie kumpata

  Lakini hii ya kutafuta individual ni ngumu kidogo mkuu

   
 18. Mlendamboga

  Mlendamboga JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  lakini anapatikana manake nimejaribu kumpigia simu yake inaita!, sasa nashangaa kama Vodacom na polisi wameshindwa kukusaidia kwasababu kama inaita simu yake akipokea tu voda wanaweza kufuatilia hadi location specifically mnara anaotumia ikawa njia rahisi ya kumonitor, lakini pia wanaweza kukusaidia kwa kukamata namba za watu anaowasiliana nao halafu wakabanwa wale then wakakupeleka hadi eneo aliko!!!! mbona polisi wamekuwa wakifanya hivyo mara nyingi?
   
 19. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu unaweza kuniambia baada ya kugundua umetuma pesa kwa mtu ambaye ukukusudia kumtumia ilichukua mda gani kuwasiliana na vodacom?
   
 20. B

  Brother Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M2 AKIIBA BLACKBERRY AU I-PHONE ANAKAMATWA SIMPLY KWA NJIA ILIYONIFURAHISHA=> Halow naitwa Janeth napiga simu toka VODACOM, wewe ni fulani fulani na namba yako ya simu ni ___ ___ , NDIO basi umefanikiwa kushinda mill1 kweny bht nasibu, thn wakamwambia afike OFISINI apo ujanja wake wote ukaisha, Mbna ht kwa hli linawezekana fatilia VODA labda km una hela nyingi ndo umuache.
   
Loading...