Tracing mobile phone

ipo njia ya ku2mia software ya spybubble na nivizur ukiinstall netqin antvirus kwan ina uwezo wa kulinda cm yko..i mean utaweza trace cm yko kam ikipotea au kuibiwa.
 
Makampuni ya simu na mamlaka ya mawasiliano wanapaswa kutulinda juu ya tishio hilo la wizi kwa kushirikiana na Polisi.Iwapo kampuni itashindwa kuonyesha ushirikianao katika kukomesha wizi/uharifu wowote basi ifutiwe usajili
 
mimi nadhani ungepewa jina la sehemu aliyochukulia pesa na labda utapata ID iliyotumika au labda anajulikana na waliompatia pesa. Kwa TZ nadhani hii ndio itakuwa rahisi.

Ila ni fundisho kubwa kupatia namba ukituma. sijui hii inafanyaje kazi ila itakuwa lazima imeliza watu wengi sana.

Kingine mpokeaji pesa kwai anapewa jina la nani katuma au? ila hii kitu ukimpata akasemanae alikuwa anategemea pesa akadhani ndio hizo kesi ipo kweli hapo?
 
kwa faida ya wanajamvi wote iwapo utapatwa na tatizo kama hili piga namba 15366 pindi tu upokeapo meseji ya mpesa na kubaini kuwa umekosea utumaji wa pesa. Muda huo huo watazui fedha uliyotuma na kuirudisha kwenye account yako ya Mpesa ndani ya masaa 24.
Mkuu..kuna wakati confirmation msg inachelewa kuja.upande wa pili mpokeaji anakuwa ameshapokea na huku mtumaji hajapata msg ya uhakikisho
 
unaposema ndani ya masaa ishirini na nne ni kuwa hiyo account ya aliyepokea inakuwa imezuiliwa? Au wkt huo anaweza kwenda kwa mtoa huduma akatoa na pesa?
mkuu..hii inawezekana tu iwapo mtumiaji hajazikomba hizo pesa na pia kama akaunti yake inatunza chochote
 
Ongea na watu wa voda wakuonyeshe katika list call yao ni mtu gani wanaepigiana simu mara kwa mara,mnambana huyo mtu ambaye wanawasiliana mara kwa mara ataenda kuwaonesheni jamaa anapoka
 
yani pamoja na watu kufanya registration bado haya yanatokea, aisee!
Usajili unafanyikia mitaani pia simu ambazi hazijasajiliwa zinadunda kama kawaida..hapa bado kuna mgongano kati ya TCRA na network operators
 
Sidhani mkuu kama kuna namna unaweza kutrace location ya simu ilipo zaidi ya kujua simu inatumia mnara wa sehemu gani.

Kinacho nishangaza katika hili ni namna Vodacom wanavyoshindwa kuwasaidia wateja wanapopatwa na shida kama hii
Nilitaraji labda Voda watawasiliana na mwenye kutumiwa pesa kimakosa na kumtaka azirejeshe haraka, na akikaidi basi wao kama Voda ndio wenye access zote na mamlaka kisheria kutafuta namna ya kumpata huyo mtu kwa kuwabana hata watu anao wasiliana nao mara kwa mara ambao wanaweza kumshawishi arudishe hizo pesa.
Au kublock no zao na wakija ofisini wataelezwa wasaidie kumpata

Lakini hii ya kutafuta individual ni ngumu kidogo mkuu

Paulss
nakubaliana na wewe kwa 100%.tatizo ni ushirikiano mdogo btn police na net operators..pia kwa polisi ni tatizo zaidi kwani anataka ale kotekote yaani hata hizo pesa anazitaka yeye
 
lakini anapatikana manake nimejaribu kumpigia simu yake inaita!, sasa nashangaa kama Vodacom na polisi wameshindwa kukusaidia kwasababu kama inaita simu yake akipokea tu voda wanaweza kufuatilia hadi location specifically mnara anaotumia ikawa njia rahisi ya kumonitor, lakini pia wanaweza kukusaidia kwa kukamata namba za watu anaowasiliana nao halafu wakabanwa wale then wakakupeleka hadi eneo aliko!!!! mbona polisi wamekuwa wakifanya hivyo mara nyingi?
Mlendamboga lakini sio kwa wali
Inawezekana hivyo kabisa ila yahitaji ufuatiliaji sana na kwa case yangu nipo mbali na mtuhumiwa
 
Mkuu unaweza kuniambia baada ya kugundua umetuma pesa kwa mtu ambaye ukukusudia kumtumia ilichukua mda gani kuwasiliana na vodacom?
it took about seven minutes.nilishtuka niliyemtumia aliponipigia hajapata nami nilipoangalia msg ya uthibitisho...ambayo ilichelewa kidogo nikagundua imeenda siko.bahati nzuri voda walipokea mara moja
 
M2 AKIIBA BLACKBERRY AU I-PHONE ANAKAMATWA SIMPLY KWA NJIA ILIYONIFURAHISHA=> Halow naitwa Janeth napiga simu toka VODACOM, wewe ni fulani fulani na namba yako ya simu ni ___ ___ , NDIO basi umefanikiwa kushinda mill1 kweny bht nasibu, thn wakamwambia afike OFISINI apo ujanja wake wote ukaisha, Mbna ht kwa hli linawezekana fatilia VODA labda km una hela nyingi ndo umuache.
Kwa simu ya wizi inaweza kuwork out lakini kwa mwizi wa fedha atakuwa na shaka
 
Wakuu..
kwa bahati mbaya nimemtumia mtu pesa kwa makosa dakika chache baadae nilipogundua tatizo nilijaribu kupiga ile namba ikawa imezimwa,nikapiga vodacom m-pesa wakasema pesa imechukuliwa mudamfupi baada ya kutumwa.
Kesho yake ile namba ikawa hewani,juhudi za kuipigia hazikuzaa matunda kwani hakupokea,tukamtumia msg kuwa tumeshajua jina lake na location yake yupo Moshi hivyo arejeshe hizo pesa kwani ushahidi kamilitunao..hapo ikaanza danadana mara simu ilizima mara oh mnanitisha marakosa ni la nani lakini lastly akaconclude kuwa do whatever yo want
Vodacom wameassist kublock account na kutupa location lakini police bado hawajampata na simu yake anawasha kwa machale
Je kuna mbinu nyingine ya kuweza kumtrace mtu at least nearby na mahali alipo?
Kwa kuzingatia makosa ya kiubinadamu hivi mtu akikosea akautumia pesa hutakiwi kumrejeshea?
Take position ya mtumaji au ya mtumiwaji kuwa ni wew na ulikuwa na dharura like ugonjwa,msiba etc
Kama kuna mdau ana knowledge zaidi ya kubana watu wa aina hii atumwagie kwa faida ya wengi..najua ni mambo yanatokea kila siku japo mimi nahesabu hasara lakini at least huyu aliyejisevia apate haki yake..
bila kusubiri kuulizwa huyo mtu aliyetumiwa namba yake ni0754 525862 jinsia ni ke anaitwa Elinaike Makundi
Pole saana Inkoskaz hiyo huwa inatokea, ila nakushauri uwasiliane na vodacom wakupe location ya wakala alipochukulia fedha nadhani inaweza kusaidia!!!! Investigation ya police inaweza kuanzia hapo si ajabu eneo hilo anajulikana!!!!Wewe pia hujaweka namaba zako za simu in case of anything as precaution!!!!

 
ipo njia ya ku2mia software ya spybubble na nivizur ukiinstall netqin antvirus kwan ina uwezo wa kulinda cm yko..i mean utaweza trace cm yko kam ikipotea au kuibiwa.
tumlack
Hii inawezekana kwa simu iliyoibiwa kwa kuwa ina hiyo software au zinginezo utweza kuitrace.
Lakini kutrace simu isiyo na hiyo application ndio pagumu hapo
 
kazi ndogo sana kaka wala usijali, chakuzingatia muda na thamani ya hiyo pesa yako.

Nini cha kufanya?
Inabidi uwe na rb na barua kutoka polisi kwenda vodacom kwa ajili ya kukusaidia tatizo lako.

Baaada ya hapo kinachofanyika voda waangalie mtu wake wa karibu kwa maana ya watu anaowasiliana nao mara kwa mara ikibidi mke kwani wanaweza kuona hata sms zake za zamani na mpya hilo ni rahisi sana.
Baada ya hapo voda watampigia mtu huyo amabye wataona ni mtu wake wa karibu kuwa ameshinda promosheni ya voda afike ofisini kwao kujinyakulia zawadi yake. Akifike yeye na polisi na wewe mtampata mtuhumiwa kwani anamjua naye atamuita mtampata very simple.
 
Pole saana Inkoskaz hiyo huwa inatokea, ila nakushauri uwasiliane na vodacom wakupe location ya wakala alipochukulia fedha nadhani inaweza kusaidia!!!! Investigation ya police inaweza kuanzia hapo si ajabu eneo hilo anajulikana!!!!Wewe pia hujaweka namaba zako za simu in case of anything as precaution!!!!

Mtumishi wetu
Upo sahihi..upelelezi wowote huhitaji chanzo na facts
+255 767 000 005
 
kazi ndogo sana kaka wala usijali, chakuzingatia muda na thamani ya hiyo pesa yako.

Nini cha kufanya?
Inabidi uwe na rb na barua kutoka polisi kwenda vodacom kwa ajili ya kukusaidia tatizo lako.

Baaada ya hapo kinachofanyika voda waangalie mtu wake wa karibu kwa maana ya watu anaowasiliana nao mara kwa mara ikibidi mke kwani wanaweza kuona hata sms zake za zamani na mpya hilo ni rahisi sana.
Baada ya hapo voda watampigia mtu huyo amabye wataona ni mtu wake wa karibu kuwa ameshinda promosheni ya voda afike ofisini kwao kujinyakulia zawadi yake. Akifike yeye na polisi na wewe mtampata mtuhumiwa kwani anamjua naye atamuita mtampata very simple.
Wanatamani
This sounds good,naifanyia kazi
 
brother pole sana, ila ushauri wa hapo juu from Inkoskaz upo hot...
 
Back
Top Bottom