Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,359
- 2,379
Wakuu..
kwa bahati mbaya nimemtumia mtu pesa kwa makosa dakika chache baadae nilipogundua tatizo nilijaribu kupiga ile namba ikawa imezimwa,nikapiga vodacom m-pesa wakasema pesa imechukuliwa mudamfupi baada ya kutumwa.
Kesho yake ile namba ikawa hewani,juhudi za kuipigia hazikuzaa matunda kwani hakupokea,tukamtumia msg kuwa tumeshajua jina lake na location yake yupo Moshi hivyo arejeshe hizo pesa kwani ushahidi kamilitunao..hapo ikaanza danadana mara simu ilizima mara oh mnanitisha marakosa ni la nani lakini lastly akaconclude kuwa do whatever yo want
Vodacom wameassist kublock account na kutupa location lakini police bado hawajampata na simu yake anawasha kwa machale
Je kuna mbinu nyingine ya kuweza kumtrace mtu at least nearby na mahali alipo?
Kwa kuzingatia makosa ya kiubinadamu hivi mtu akikosea akautumia pesa hutakiwi kumrejeshea?
Take position ya mtumaji au ya mtumiwaji kuwa ni wew na ulikuwa na dharura like ugonjwa,msiba etc
Kama kuna mdau ana knowledge zaidi ya kubana watu wa aina hii atumwagie kwa faida ya wengi..najua ni mambo yanatokea kila siku japo mimi nahesabu hasara lakini at least huyu aliyejisevia apate haki yake..
bila kusubiri kuulizwa huyo mtu aliyetumiwa namba yake ni0754 525862 jinsia ni ke anaitwa Elinaike Makundi