John Mwaisengela
Senior Member
- May 6, 2024
- 107
- 143
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita wale wote ambao wamefaulu usahili wa mahojiano. Wakati huo huo TRA imemshukuru Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuruhusu kuongezwa nafasi zingine 300 katika ajira hii.