kwa hiyo ilitakiwa wakusanye ngapi?Kwa tax base iliyopo ni impossible kukusanya 1.79 trillion kwa mwezi..... Hizi ni siasa kumfurahisha bwana mkubwa.
Watanzania tuache siasa tufanye kazi.
Hivi uncle Ruckus ni trilion 1.79 au ni 1.079 ,hii nchi kila kitu ni siasa tu huyo aliyetoa hiyo figure ameudanganya umaKwa tax base iliyopo ni impossible kukusanya 1.79 trillion kwa mwezi..... Hizi ni siasa kumfurahisha bwana mkubwa.
Watanzania tuache siasa tufanye kazi.
jana tumeambiwa eti mwezi huu serikali imeshakusanya trilion 1.79 takwimu hizi zinamaanisha kwamba huenda tukafikisha trilion 2 mpaka mwisho wa mwezi kama sikosei kwakweli hizi takwimu ni tamu sana maskioni ila kiukweli mimi sioni zikigusa maisha yangu binafsi coz katika manunuzi yangu yote sioni niwapi hayo makusanyo yameleta unafuu kwani bado nanunua unga 1200 kg maharage 2400 kg sukari 2200 kg petrol desel kerosene around 2000 nauli ya daladala bado ipo palepale cement 14000 mkaa 45000 mshahara wangu uko palepale kimsingi nimefanya taathini ya manunuzi yangu yote hakuna kitu ambacho nimepata unafuu wa bei kulinganisha na awamu iliyopita sasa hili ongezeko linaninufaishaje mimi kama si sifa za kijinga!!
Kwan philosophy yako ni ipi katika kuona serikali inafanya kazi?jana tumeambiwa eti mwezi huu serikali imeshakusanya trilion 1.79 takwimu hizi zinamaanisha kwamba huenda tukafikisha trilion 2 mpaka mwisho wa mwezi kama sikosei kwakweli hizi takwimu ni tamu sana maskioni ila kiukweli mimi sioni zikigusa maisha yangu binafsi coz katika manunuzi yangu yote sioni niwapi hayo makusanyo yameleta unafuu kwani bado nanunua unga 1200 kg maharage 2400 kg sukari 2200 kg petrol desel kerosene around 2000 nauli ya daladala bado ipo palepale cement 14000 mkaa 45000 mshahara wangu uko palepale kimsingi nimefanya taathini ya manunuzi yangu yote hakuna kitu ambacho nimepata unafuu wa bei kulinganisha na awamu iliyopita sasa hili ongezeko linaninufaishaje mimi kama si sifa za kijinga!!
jana tumeambiwa eti mwezi huu serikali imeshakusanya trilion 1.79 takwimu hizi zinamaanisha kwamba huenda tukafikisha trilion 2 mpaka mwisho wa mwezi kama sikosei kwakweli hizi takwimu ni tamu sana maskioni ila kiukweli mimi sioni zikigusa maisha yangu binafsi coz katika manunuzi yangu yote sioni niwapi hayo makusanyo yameleta unafuu kwani bado nanunua unga 1200 kg maharage 2400 kg sukari 2200 kg petrol desel kerosene around 2000 nauli ya daladala bado ipo palepale cement 14000 mkaa 45000 mshahara wangu uko palepale kimsingi nimefanya taathini ya manunuzi yangu yote hakuna kitu ambacho nimepata unafuu wa bei kulinganisha na awamu iliyopita sasa hili ongezeko linaninufaishaje mimi kama si sifa za kijinga!!
Itachukua muda gani hadi mama anayeuza Bamia kule Tandale kwa Mtogole aone matunda ya ongezeko la ukusanyaji wa Kodi!?Its is not a matter of a minute its should take time
Wewe nyumba hivi 580bil +843bili unapata ngapi ulipata zero form four weweKwa mujibu wa Azam tv news .....Likwelile aliongelea makusanyo kuwa ni Trln 1.079 na na sio hiyo ya kutoka habari leo ua Trln 1.7
mkuu hujui TEA(mamlaka ya Elimu Tanzania) ww mkenya au Mgandahawa TEA ndio nani na wanafit vp kwenye system za Tamisemi na Wizara ya Elimu? kweli mabadiliko sio kuzungusha mikono, watanzaniia tungejuta!
Uulitaka ichue muda gani???? imechukua muda gani wewe kuweza kuingia humu JF ???development is not instant changesItachukua muda gani hadi mama anayeuza Bamia kule Tandale kwa Mtogole aone matunda ya ongezeko la ukusanyaji wa Kodi!?
Hawezi jua huyo akikimbia shulemkuu hujui TEA(mamlaka ya Elimu Tanzania) ww mkenya au Mganda
unafanya nini humu mkuu mtafute simbachaweneBadala ya kukaa mitandaoni na kuanza kuponda takwimu huu ni wakati muafaka wa kuanza kuzifuatilia hizi fedha..na impact yake.
Acha ujinga wewe yumbu hebu leta data za makusayo ambazo ni verified hapateh teh teh teh Mtu muongo anatakiwa awe na kumbukumbu...
Too bad hata kumbukumbu za kwenye vitabu vya mahesabu zinawashinda..
Tuwaache waendelee kupika makusanyo ila muda haudanganyi... Alafu kitu kingine kinachonishangaza ni makusanyo ya January kutangazwa February 23.. Sasa hatujui hii imekaaje..
Kwa tax base iliyopo ni impossible kukusanya 1.79 trillion kwa mwezi..... Hizi ni siasa kumfurahisha bwana mkubwa.
Watanzania tuache siasa tufanye kazi.