TRA yakusanya kwa mwezi trilioni 1.7

TRA yakusanya kwa mwezi trilioni 1.7

Ongezeko lote hilo lilikuwa linaishia kwa walipa kodi!!!
 
Hivi hizi taarifa kila siku zinabadilika? Mbona leo wanasema wamekusanya trilioni moja tu?

Sasa wanasema January walikusanya trilioni 1.07 na February 1.02.

Mbona tofauti ni kubwa sana na hiyo 1.79 trilioni waliyoisema mwanzoni?

Kuna sarakasi katika utoaji wa hizi taarifa.
Itakua shida kama ni kweli tulipewa takwimu za uongo. Watu tulishafurahi sana. Anyway majipu yaendelee kutumbuliwa nidhamu itarejea na makusanyo ya kodi yatapanda.
 
Heko... pongezi kwa serikalii.... nasubiria tuwe na ndege zetu za kutosha (air tanzania cjui au air kilimanjaro au tanzania airways)
 
Back
Top Bottom