TRA yakusanya kwa mwezi trilioni 1.7

TRA yakusanya kwa mwezi trilioni 1.7

Yale madudu walikuwa wanafanya akina Kikwete kukopa hela na kuzitafuna sasa yanagharimu taifa zaidi ya nusu ya mapato yake ya mwezi!!! Kikwete huko aliko alaaniwe kabisa. Hebu fikiria zile trilioni tatu alizokopa kwa ajili ya bomba la gesi ndio hizo tunalipa saizi huku manufaa ya bomba la gesi hatuyaoni.
 
Huko wanapokusanya wanaua kila kitu.. Kuna baadhinya maduka yamefungwa na wawekezaji wameondoka zao.. Watanzania wapo mtaani hawana kazi... Sijajua kwa stlye hii tunajijengea guture gani.. Ingetakiwa wakae chini na walipa kodi na sio kutumia nguvu na vitisho
Wewe ulitaka tuwa endekeze waendelee kutuibia so bora waende tujue moja kuwa hatauana wawekezaji full stop
 
Hivi uncle Ruckus ni trilion 1.79 au ni 1.079 ,hii nchi kila kitu ni siasa tu huyo aliyetoa hiyo figure ameudanganya uma

Hahahaha wameondoa hiyo ili watu wakiquestion waseme ni typo... 1.79 trilion ni pesa mingi mnoo.

Hiyo December walifanikiwa kukusanya ile 1.2 trillion kwa sababu ya yale majipu yaliyotumbuliwa sana kwenye kodi na kupewa two weeks kulipia, pia Desember ni mwisho wa mwaka na kodi nyingi ie provissional tax zinatakiwa kulipwa.

Hii 1.79 trillion ni jipu pia... Huenda hata bwana mkubwa hajui watendaji wake wanamdanganya ili tu wapate sifa machoni pa watanzania, lakini in the long run hii ishu itakuja kuback fire.

Habari za ndani zinasema makusanyo ya January, 2016 ni 1.06 trillion. Na hij pia imechangiwa na walipakodi majipu walioshindwa kulipa within the given two weeks.

Kwa tax base yetu ni ngumu mnoo kumaintain collection ya a trillion per month.

Wamekomaa sana na wafanyabiashara wakubwa na kusahau kuna baba mwenye nyumba anakula kodi million na nusu hapo nyuma ya ofisi za TRA mwenge.. Ukimkomalia na huyu akalipa 10% rental (W/T), wako wangapi Tanzania?
 
HUTAKI ACHA.
 
Wewe ulitaka revenue revenue collection ya TRA ikanunue unga na mkaa nyumbani kwako? Mapato ya serikali yanafanya kazi za nchi kama Usalama, Barabara, Huduma za Afya, Huduma za Elimu etc. Huduma hizi zikishaboreshwa wewe unaweza kufanya kazi more efficiently na kuwa productive na tija yako kuongezeka. Its is not a matter of a minute its should take time
Mkuu umenena vyema..nashindwa kuelewa hawa watu wanataka kodi iingie mifukoni mwao tena.. seriously?? Labda wanatania
 
Hahahaha wameondoa hiyo ili watu wakiquestion waseme ni typo... 1.79 trilion ni pesa mingi mnoo.

Hiyo December walifanikiwa kukusanya ile 1.2 trillion kwa sababu ya yale majipu yaliyotumbuliwa sana kwenye kodi na kupewa two weeks kulipia, pia Desember ni mwisho wa mwaka na kodi nyingi ie provissional tax zinatakiwa kulipwa.

Hii 1.79 trillion ni jipu pia... Huenda hata bwana mkubwa hajui watendaji wake wanamdanganya ili tu wapate sifa machoni pa watanzania, lakini in the long run hii ishu itakuja kuback fire.

Habari za ndani zinasema makusanyo ya January, 2016 ni 1.06 trillion. Na hij pia imechangiwa na walipakodi majipu walioshindwa kulipa within the given two weeks.

Kwa tax base yetu ni ngumu mnoo kumaintain collection ya a trillion per month.

Wamekomaa sana na wafanyabiashara wakubwa na kusahau kuna baba mwenye nyumba anakula kodi million na nusu hapo nyuma ya ofisi za TRA mwenge.. Ukimkomalia na huyu akalipa 10% rental (W/T), wako wangapi Tanzania?
Aisee asante sana Uncle kwa hayo maelezo yako ,shida yetu kubwa ni kwamba mambo ya msingi kabisa basi siasa inaingizwa ndani yake ni kweli hili swala lita backfire na tatizo lingine ni kwamba hata liki backfire hakuna kitachofanyika kwa sababu watakua na contiguous plan na watanzania tutaendelea tu kukenua meno na kusifu kila linalofanywa na watawala ,hilo la rent ni sehemu moja nzuri sana ya kukusanya kodi ,kama Masamaki alikua na nyumba sabini peke yake ,je kwa maboss wake itakuaje ??
Sidhani kama huyo bwana mkubwa anadanganywa si ana PhD ya hesabu ?? Wala huitaji kuwa mchumi kujua kodi unayokusanya itaendelea kuwa hiyo 1.6 trilioni kwa mwezi wakati upanui wigo wa ukusanyaji kodi ,na kilicho sababibisha kufikia 1.6 ni madeni sugu ya nyuma au wale waliokwepa kabisa kulipa kodi ,
 
Matapeli wa magufuli wanaendeleza usanii hata kwenye vitu obvious 1.07 trilioni inabadirishwa kuwekwa kuwa 1.79 halafu wanakenua kuandika na kuwalisha wananchi uongo no wonder hadhi yake inashuka kwa kasi ya ajabu ameonekana anaongea uongo kila jambo haongozi ila anafanya kampeni
 
Nadhani yeye mwenyewe anajitahidi, ila wateule wake wako kwenye kampeni ya uchaguz mkuu hadi leo. No wonder wengine wanalazimisha majipu ili waonekane ndo wanachapakazi.

Lakini ni ukweli uliobayana kuwa miaka mitano siyo mingi. Wananchi watapima kwa kuangalia mafanikio ya ahadi zilizotolewa, na siyo idadi ya majipu.

Issue kama ubora na ongezeko la miundombinu, ardhi, huduma za jamii, kupungua kwa mfumuko wa bei, ongezeko la ajira, viwanda ni mambo makubwa ambayo yahitaji umakini kutimiza!
 
Big up daktari wa kemia, maneno machache, matendo makubwa. Mungu akubariki sana. Wazungu wanaanza kuonesha heshima kwa nchi yetu. Tufanye kazi kwa bidii zaidi kujiongezea heshima duniani
 
Hivi hizi taarifa kila siku zinabadilika? Mbona leo wanasema wamekusanya trilioni moja tu?

Sasa wanasema January walikusanya trilioni 1.07 na February 1.02.

Mbona tofauti ni kubwa sana na hiyo 1.79 trilioni waliyoisema mwanzoni?

Kuna sarakasi katika utoaji wa hizi taarifa.
 
Je kama pesa ikikusanywa inapangiwa majukumu hapo hapo, kuna haja ya bunge la budget?
 
Back
Top Bottom