TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

Biashara rahisi ni kuwa machinga tu ndio maana wanapanga vitu mpaka barabarani lakini maduka makubwa yanafungwa
 
Mtamlaumu tu TRA huku kuna mtu anaharibu masoko ya nje kwa kushindwa kucheza vizuri na uwanja wa diplomasia anaropokea wahisani na nchi rafiki kauli za kuwa yeye anahadhina nyingi na pesa nyingi za kuendeshea nchi ONA SASA wamemchunia ameanza kutoa malengo magumu ya makusanyo kwenye taasisi za kiserikali bila kujari anaua biashara na maisha ya watu
Sidhani mkuu. Maana kilio ni hicho tu nchi nzima. Yeye anaharibu vipi?. Anawaambia T.R.A waje huku kitaa watutait kwenye biashara zetu?
 
Asipo ambiwa ukweli na wakuu wenzake. Imani take kumaliza miradi yote itaugawa uchumi wetu nakuingia ktk historia ya kiongoz alie uwa bihashara nyingi na kufanya mambo makubwa ktk ujenzi. Yani Serikali ijayo itakuwa na kazi yakwenda MAHAKAMANI nakulipa ma fine tuzidi kusali maendeleo hayana chama
 
Wizi mtupu. Wamejazana maofisini kurudia kazi zile zile. Sio wabunifu.
Kodi zimeacha makampuni mengi yakiwa na madeni yasiyolipika. Wengi wanatumia assessment kama sehemu ya kuchukua rushwa tena bila aibu.
TRA wanaua biashara zetu kwa kubambikia kodi zisizolipika.
Hivi kwenye hizi biashara zetu, Kuna kampuni ngapi zinazopata faida zaidi ya asilimia 30 kwa mwaka? Mbona wao wanakuwa kama sio wasomi. Kila hela kampuni inayoingiza wanaichukulia kama ni faida.
Yes TRA sio mbali sana mtakuwa hamna mtu wa kukusanya tena kodi. Yatabaki madeni yasiyolipika
Ni kweli mkuu.
TRA wanatumia mzunguko wa mtaji na inflows kama net profit.
Na wanaikamata hiyo hela huku wakijua kuwa huo ni mtaji.
 
Haya yanaongelewa na mtu sliyeajiriwa.
Mkuu jaribu biashara na ondoka kwenye kiyoyozi cha kodi zetu.
Hapo utaelewa kinachoingelewa..
Wewe nakujua vizuri sana umesahau kwenye ule mkutano wa crb ulivyo kuwa kimbelembele kumshabikia Jiwe?
 
Mimi walinibambikia kodi ya milioni 70. Niliwawekea mahesabu yote, lakini yupe ofisa akadai anaomba nilipe milioni 30 bila kama sitalipa kabisa, naweza kuzunguka mwaka mzima bila kupata tax clearance. Nililipa milioni 30, sasa nashughulikia kufunga kampuni. Nayo ni process. Miezi 6 imepita tangu nianze.

Kufanya biashara/kuwekeza sasa hivi hivi Tanzania ni kijitafutia stress. Kawekeze nchi nyingine, hapa ni mahali pa kulala tu.
 
Haya ndio aliyokuwa akiyasema Lissu kwenye kampeni zake.
TRA ifumuliwe isukwe upya ikibidi Takukuru wawachunguze wale maofisa vinara wa kuwafungia watu A/C zao kwani wengi wametajirika kimiliki majumba mali nyingi kwa Rishwa wanazochukua baada ya kuwafungia wafanyabiashara Account zao na biashara zao
 
Mimi walinibambikia kodi ya milioni 70. Niliwawekea mahesabu yote, lakini yupe ofisa akadai anaomba nilipe milioni 30 bila kama sitalipa kabisa, naweza kuzunguka mwaka mzima bila kupata tax clearance. Nililipa milioni 30, sasa nashughulikia kufunga kampuni. Nayo ni process. Miezi 6 imepita tangu nianze.

Kufanya biashara/kuwekeza sasa hivi hivi Tanzania ni kijitafutia stress. Kawekeze nchi nyingine, hapa ni mahali pa kulala tu.
Kuna Mfumo wa ajabu kwenye hiyo idara ya kodi kwani wamekuwa Sumu ya maendeleo Tanzania, baadhi ya maofisa wanajinufaisha binafsi kupitia upepo wa magufuli kwa kuwatishia wafanyabiashara kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha
 
Ukiwa na Tax Consultant ataweza kupangua baadhi ya hizo “kodi”, kama huna TRA wanakimbilia akaunti yako benki na kukomba chochote kilichomo.


Hilo ni kweli kabisa... yani TRA wamekua wezi sana...




Cc: mahondaw
 
hapo utapigizana sana kelele na wamachinga,ili waone maumivu ni mpaka wawe walipa kodi,hakuna mmachinga anaeona maumivu haya kwa hiyo usijichoshe
Machinga hawalipi kodi wao wapo huru hiyo kero ya uonevu wa TRA kuwafungia A/C wafanyabiashara huwa haiwagusi
 
Mkuu yamewakuta wafanyabiashara wengi.Na serikali sikivu iko kimya.
Hata waziri wa sasa Nd Mwambe alivyokuwa TIC alilieleza tatizo wazi kabisa lakini serkali hailifanyii kazi.
Tax base inazidi kupungua na ni dhahiri matokeo yake ni kodi kupungua.
Seikali sikuvu-kimya!
Hapo unapeleka kesi ya ngedere kwa nyani!
 
Ukiwa na Tax Consultant ataweza kupangua baadhi ya hizo “kodi”, kama huna TRA wanakimbilia akaunti yako benki na kukomba chochote kilichomo.


Hilo ni kweli kabisa... yani TRA wamekua wezi sana...




Cc: mahondaw
Mara nyingi maofisa wanaofanya huo wizi ni wale wapenda Rushwa ambao wametajirika kwa kutumia jina la magufuli kuwatishia wafanyabiashara kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumi, Takukuru yafaa iwachungeze maofisa wote wa TRA
 
Hapo unapeleka kesi ya ngedere kwa nyani!
Kesi zao washitakiwe humu humu JF kwani wanapita humu watasoma kila kitu, hata waziri atapita ataona malalamiko ya wafanyabiashara aanze kuwasaka maofisa vinara wa kuwafungia wafanyabiashara Account zao
 
Back
Top Bottom