TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

Kutoitwa wewe sio kigezo cha kutoitwa mwingine, pia nawe ikifika zamu yako utapigiwa

Sasa hapa nimeamini. Nimepigiwa simu muda si mrefu.
Namba hii hapa 0222117327 mdada anasema Mafunzo yanaanza tar 16 May Jtatu chuo cha Kodi. Tafadhali kama unaenda Toi beba simu yakoooo .......

Mungu anisaidie nisiende kuwa Jipu.
 
HONGERA SANA, Kwani umeitwa kwa position gani? nataka nijue kama wanaita kwa position position na sio random mana jana watu wengi walioitwa walikua wa position ya tax
 
Sasa hapa nimeamini. Nimepigiwa simu muda si mrefu.
Namba hii hapa 0222117327 mdada anasema Mafunzo yanaanza tar 16 May Jtatu chuo cha Kodi. Tafadhali kama unaenda Toi beba simu yakoooo .......

Mungu anisaidie nisiende kuwa Jipu.
Hongera kwa kuitwa
 
Jamani mlioenda kuchukua Barua zenu tuambieni tunaenda na vitu gani?. Mi nataka nibebe na Begi la nguo kabisa,
Si wanaanza na kutoa hela ya nauli au?.
 
Watu wa preventive na custom officers vipi, kuna yeyote aliyepigiwa simu?
 
Back
Top Bottom