SOKETI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 206
- 50
Taarifa hizi ni za ukweli?, zisije kuwa za uongo watu tukapoteza mda kwenda hadi bunjuNimeambiwa yamebandikwa pale nbaa bunju.....aliye karibu akaangalie
Taarifa hizi ni za ukweli?, zisije kuwa za uongo watu tukapoteza mda kwenda hadi bunjuNimeambiwa yamebandikwa pale nbaa bunju.....aliye karibu akaangalie
Habari hizi ni mkanganyiko sana! Au kazi imekua ngumu kwa nbaa ndo mana wamechelewaTaarifa hizi ni za ukweli?, zisije kuwa za uongo watu tukapoteza mda kwenda hadi bunju
Hahahaaa mkuu ndo tumeungia bundle iyo.Tumen ela ya bodaboda mm dk tu hahaha
Kumark karatasi za watu zaidi ya 500 si kazi rahisi na inahitaji umakini wa hali ya juu ili kila mtu aweze kupata haki yake.Habari hizi ni mkanganyiko sana! Au kazi imekua ngumu kwa nbaa ndo mana wamechelewa
Acha tuKumark karatasi za watu zaidi ya 1000 si kazi rahisi na inahitaji umakini wa hali ya juu ili kila mtu aweze kupata haki yake.
Sawa unajiandaa mkuu! Inafanyikia wapi na saa ngapi?Mi najiandaa na ORAL, Wabandike, wasibandike tutaonana huko huko. Labda waweke kwenye web alaf nione nimefeli.
Najua nilichosoma nitakua nimeongeza udambwi dambwi kichwani. Sasa ukikaa kusubiri majibu alaf yakatoka saa nne upo kwenye kuangalia Madrid anavyotoka jasho la Meno unadhani utapata wapi muda wa kunyoosha tai.....
Hili sasa tatizo. Ila hainizuii kujiandaa, acha nile msuli. wale washenzi wanaita kada tofauti tofauti alaf mizigo wanayotoa ni balaa.......Ngoja nizame zaidi mpaka saa saba usiku nitakua nishajua kama wanafanyia Bunju, TRA, NBAA MHASIBU HOUSE, HOTEL KEMPISK, LANDMARK au Holiday Inn. Najiandaa tu MkuuSawa unajiandaa mkuu! Inafanyikia wapi na saa ngapi?
Umesikia kwa nani, aliyekufaarifu kwa nn asingekupa matokeoAliekaribu na nbaa house town naskia wamebandika town aisee
Mudi na kihere here cha kujiandaa na Oral chote kimekwisha.....Ngoja niangalie tena shenzi hawaWamepost tayari NBAA
Hongera Mkuu, nenda kapate hata Mchuzi wa Pweza pale Buguruni. Sisi wa Tax kila sehemu ni wa mwisho, bado tunaendelea kusubiri na nimekusanya Bible na Qur-an napitia pita zitie mjazo na namba itoke kwenye wale "SHORTLISTED"Thxs GOD nimo