Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 482
- 681
aaaaaaah sana, one day Yes...harafu mbona ukifeli interview bado maisha yanaendelea, kwa hyo ni kupambana tu.
aaaaaaah sana, one day Yes...harafu mbona ukifeli interview bado maisha yanaendelea, kwa hyo ni kupambana tu.
harafu mbona ukifeli interview bado maisha yanaendelea, kwa hyo ni kupambana tu.
mkuu uko mjiini?Tumisubiri hadi tumechoka! Hapa saa kumi na moja inaingia
Naangalia website tu! Mjini sijaenda wala ninimkuu uko mjiini?
Ndiyo bado mkuuBado mkuu
Duuh! Sasa itakuwa balaa...watu saa hizi watoke mjini hadi bunjuNimeambiwa yamebandikwa pale nbaa bunju.....aliye karibu akaangalie
Mkuu hakuna mtu aliepo bunju kama vipi tumpe namba atuangalizie kama wamebandika mana daah kutoka gongolamboto hadi bunju ni issueBado mkuu
duuuuuuuu bunju tena???? duuuuuh watu tupo segerea saizDuuh! Sasa itakuwa balaa...watu saa hizi watoke mjini hadi bunju
Hapo sasa! Kama kweli basi hii ni balaaduuuuuuuu bunju tena???? duuuuuh watu tupo segerea saiz
daaaaaaa jamaa hawako fair kabisa huu utaratibu wa wapi sijuiHapo sasa! Kama kweli basi hii ni balaa
Mlivumilia kwenye lipi?Vumilieni tu,mbona,sisi wenzenu tulivumilia