TRA, wafanyabiashara wana temper na EFD machines

TRA, wafanyabiashara wana temper na EFD machines

PELEKA KODI YAKO MWENYEWE TRA KAMA NGELEJA ITAPENDEZA NA KUONYESHA UZALENDO WAKO!!
 
Vat ni 0.18 na sio 1.18 ndugu, 1.18 mean 118/100 which is 118% badala ya 18%
Ha ha ha...wewe ushawahi kutumia EFD machine? Ungekuwa mfanyabiashara ungejua kuwa kupata bei ya kitu including VAT unatakiwa kuzidisha kwa 1.18.
Yaani bei ya kitu bila VAT ni 100,000, ili kupata bei yenye VAT unazidisha na 1.18 yaani
100,000*1.18=118,000. Otherwise utatumia njia yako ndefu 100,000*0.18 halafu ujumlishe na 100,000 ndio upate 118,000! Sidhani kama umenielewa.
Kwa huyu mwenzetu kwa hesabu zako wewe
(178,000*0.18)+178,000=210,040
Shortcut 178,000*1.18=210,040
 
Ila cash ilitakiwa iwe 210,000/= badala ya 178,000/= iliyoonyeshwa
 
Nimenunua bidhaa za ujenzi za Tsh 210, 000 lakini RISITI YA EFD inasoma total cash Tsh 178, 000 na VAT Tsh 27, 152. Nilipomuuliza mbona mashine yake haitoi risiti sahihi maana 18% ya 210, 000/= ni 37, 800 na risiti yake ilipaswa kusomeka:
cash ni 172, 200
VAT 18% ni 37, 800
Hivyo Total cash isomeke 210, 000 akawa hana majibu.
Kama mtanzania mlipa kodi sikuridhika. Wito wangu kwa mamlaka ya Mapato nchini kukagua mashine hizi, nimegundua maduka mengi ya vifaa vya ujenzi hayana kabisa hizi mashine hivyo kuwepo na mwanya wa ukwepaji kodi kwa kutolipa kodi sahihi.
Alipokuwa hana majibu ulifanya nn ama umekuja kupost humu?Chukua risiti iliyo Halali.sasa hiyo ulichukua means ilikuwa halali kwako.
 
Nimenunua bidhaa za ujenzi za Tsh 210, 000 lakini RISITI YA EFD inasoma total cash Tsh 178, 000 na VAT Tsh 27, 152. Nilipomuuliza mbona mashine yake haitoi risiti sahihi maana 18% ya 210, 000/= ni 37, 800 na risiti yake ilipaswa kusomeka:
cash ni 172, 200
VAT 18% ni 37, 800
Hivyo Total cash isomeke 210, 000 akawa hana majibu.
Kama mtanzania mlipa kodi sikuridhika. Wito wangu kwa mamlaka ya Mapato nchini kukagua mashine hizi, nimegundua maduka mengi ya vifaa vya ujenzi hayana kabisa hizi mashine hivyo kuwepo na mwanya wa ukwepaji kodi kwa kutolipa kodi sahihi.

TOA TAARIFA HARAKA SANA TENA SANA MARA MOJA KWA "RC" YUPO SHAP SANA KAMA UPO DAR ..ILA KAMA UPO NJE YA DAR UTAJUA MWENYEWE....DAR TUNA KAMA KAMANDA WETU WA KILA KITU MZALENDO DAMU..ANAUPENDA MKOA WAKE KULIKO ...KAMA CHAKULA...
 
Hajaiba chochote, labda tu mashine yake haijaonesha total include VAT
178,000 * 1.18 = 210,040
Huyu jamaa inaonekana hesabati alipata Yai.before write anything hakikisha unachopost unauhakika nacho.Hajui mfumo wa hizo machine unavyofanya kazi,kakimbilia kupost humu.The machines start to do some computations from the VAT and then create subtotal and total amount.ASANTE KWANI UMEMUELIMISHA.Tena yeye kaiibia TRA kwan hajalipa hiyo tzs40
 
Puuzi jingine hili..kwani nikidai receipt ninanufaika na nini...or wewe ndo bashite mnaokula kodi zetu na lile jiziii linalojifanya limetumwa na mungu
Akili yako na hiyo avatar yako iko sawa kabisa. Nakupuuza kwakuwa uko kundi la fool
 
Kabla ya kununua kitu huwa namwambia kbsa mweny duka sihitaji risit ya EFD. Bora kodi ibaki kwa mwenye duka kuliko kunuwanufaisha bashite na baba yake.
Uzalendo ni kwa wazazi wangu na mke wangu + watoto.
Mkuu nakuunga mkono. Ni kheri tunufaishane tu wenyewe kwa wenyewe kuliko kuzikusanya halafu Chenge na Tibaijuka wanakuja tu kuzitwaa kiulaini kama unaoga vile.
 
Nimenunua bidhaa za ujenzi za Tsh 210, 000 lakini RISITI YA EFD inasoma total cash Tsh 178, 000 na VAT Tsh 27, 152. Nilipomuuliza mbona mashine yake haitoi risiti sahihi maana 18% ya 210, 000/= ni 37, 800 na risiti yake ilipaswa kusomeka:
cash ni 172, 200
VAT 18% ni 37, 800
Hivyo Total cash isomeke 210, 000 akawa hana majibu.
Kama mtanzania mlipa kodi sikuridhika. Wito wangu kwa mamlaka ya Mapato nchini kukagua mashine hizi, nimegundua maduka mengi ya vifaa vya ujenzi hayana kabisa hizi mashine hivyo kuwepo na mwanya wa ukwepaji kodi kwa kutolipa kodi sahihi.
Wewe umemlipa cash shilingi ngapi? Kama umelipa 178,000 hiyo VAT ipo sawa. Kama umelipa 210,000 basis kuna wizi hapo.
 
Kuna mashine nyingine fake aiseee huenda asidakwe
Daah jamaa kama anamashine fake basi atasave lakini mpaka hapo ameshaingia kwenye nyavu 99%.

Huju jamaa atageuzwa punching bag ya TRA na kila mtu serikalini atakayetaka kuandikwa na magazeti.
 
We jamaa unaroho mbaya sijawahi ona.. Sasa hyo 27,000 unaona kama tra haiwatoshi...

Kua mkubwa basi jitegemee.. Ama fanya biashara walau ata kwa mwezi mmoja uone ugumu wa biashara... Tunafanya hvyo walau kupunguza ukali wa maisha.. Hv unataka tule wapi.. Ama unataka tufunge maduka..

Hv umewahi fanya biashara yeyote!? Mi hapa mchozi unanitoka namna huyo jamaa watakavyo mlima kodi mara 10 kwa huo unoko.. Sijui wewe ni mwanaume ama mwanamke?
 
Heshimu sana wazazi, utalaaniwa bure kwa vitu vidogo.
Bado unaamini kwenye laana mkuu miaka hii ya utandawazi.. Sema utarogwa ndio naamini... Nahizo laana mnazoziita ilikua ni kurogana sio kingine
 
Back
Top Bottom