Roho MBAYA unayo wewe ambaye umeshafikiri na kuamini kabisa kuwa kukwepa kodi ni HAKI. Kama unaamini alichofanya ni roho mbaya na unahisi una dini katubu.Acha roho mbaya we kijana,Ukiendelea utakuja kuwa mchawi mbaya sana,
Roho MBAYA unayo wewe ambaye umeshafikiri na kuamini kabisa kuwa kukwepa kodi ni HAKI. Kama unaamini alichofanya ni roho mbaya na unahisi una dini katubu.Acha roho mbaya we kijana,Ukiendelea utakuja kuwa mchawi mbaya sana,
You can not stop stealing instead controlMtaani hakishindikani kitu kuna EFD fake zinatoa risiti kama za TRA lkn hazina connection Na TRA.Hapana chezea Bongo Dar es salaam
Em adhibitishe kwamba alitoa 210,000/= badala ya 178,000/= kama mkataba halali (risiti) unavyotamka, tumuamini yeye au mkataba halali?Safi sana wahusika wameona TIN hiyo. Haiwezekani wengine tukamuliwe hadi mwisho wengine wateleze na ganda la ndizi tu.
Kuna mashine nyingine fake aiseee huenda asidakweHapa namuona huyu mfanyabiashara akihaha......
Maana UIN yake inamuanika haswa,kuanzia TIN No yake mpaka S/No ya hiyo mashine yake...
Hii ni balaa aisee.
Mleta mada,umemchoma huyo jamaa.
Kama huyo mfanyabiashara ni mazoea yake ,Na wakitaka kufuatilia ajue kuna mtego utawekwa,Em adhibitishe kwamba alitoa 210,000/= badala ya 178,000/= kama mkataba halali (risiti) unavyotamka, tumuamini yeye au mkataba halali?
KOMAAcha unoko ww lzm ni msukuma
We ..., sasa umemsaidia nini? yani hata tatizo hajalijuwa mfanyabiashara ushakwenda kuripoti na kuanika taarifa zake zote, ungekaa ukamshauri naamini angebadilika, sasa unataka watu wachukulie kiki kwake, jiulize hivi kama una uchungu na nchi na watanzania ungemwambia taarifa za kwenye hii risiti nitafikisha polisi endapo hutorekebisha ndani ya masaa 24 huu mfumo wako, halafu ukashade hiyo risiti zile particulars za mfanyabiashara (kama ulivyo shade jina lako na particulars zako hapa jf) ukaiweka hapa ungepungukiwa kitu?Nimenunua bidhaa za ujenzi za Tsh 210, 000 lakini RISITI YA EFD inasoma total cash Tsh 178, 000 na VAT Tsh 27, 152. Nilipomuuliza mbona mashine yake haitoi risiti sahihi maana 18% ya 210, 000/= ni 37, 800 na risiti yake ilipaswa kusomeka:
cash ni 172, 200
VAT 18% ni 37, 800
Hivyo Total cash isomeke 210, 000 akawa hana majibu.
Kama mtanzania mlipa kodi sikuridhika. Wito wangu kwa mamlaka ya Mapato nchini kukagua mashine hizi, nimegundua maduka mengi ya vifaa vya ujenzi hayana kabisa hizi mashine hivyo kuwepo na mwanya wa ukwepaji kodi kwa kutolipa kodi sahihi.
Tena mfanyabiashara anaweza akamgeuzia kibao kumshtaki kumchafulia jinaShida ni kuthibitisha umempa hiyo amount
Watu wa ajabu kabisa.Na hawa ndio waTanzania....
Hilo la kushtakiwa liko wazi, huwezi ukam-defame mtu kwa kiwango hiki halafu akakuacha salama, kila mtu atawajibika kwa lake!Tena mfanyabiashara anaweza akamgeuzia kibao kumshtaki kumchafulia jina
Kabla ya kununua kitu huwa namwambia kbsa mweny duka sihitaji risit ya EFD. Bora kodi ibaki kwa mwenye duka kuliko kunuwanufaisha bashite na baba yake.Alinipa na risiti ya mkono inayosoma 210, 000!/=
Mbyurura unanunua vifaa vya ujenzi vya 210,000, huo ujenzi au ukarabati? Hukwenda na fuso kweli? Kabila gani wewe?Another fool who cant hide his stupidity!
Na maendeleo hayaji kwa kufuta ajira, na kuwanyima watu baadhi ya stahiki zao.Nilijifunza mengi sana ughaibuni...maendeleo hayaji kama ndoto arifu
Punguza jazba ndugu. Ukiona idadi kubwa ya watu hawaipendi hii nchi, wanakwepa kulipa kodi au hawataki kusikia neno uzalendo. Usikimbilia kuwalaumu watu. Chunguza ni kitu kmewafanya wawe hivyo?Na mamako
Aisee hizi comment nyingine ni hatareeeeeee. Inaonesha ni kiasi gani watu mlivyochoshwa na huu utawala.Kodi yako. Peleka mwenyewe TRA.
Bila kununua kitu dukani
Huduma zipi ambazo zimeshaboreshwa kwa kutumia hizi kodi zetu!?Kwa hiyo usipodai receipt utanufaika na nini? haujui hiyo yote inaenda kwenye tumbo la huyo ambapo ingeenda kuboresha huduma za jamii.
Akili zingine bora ifike tu mahali muwe mnaazimishwa akili maana naona kuna watu wamewashikia akili zenu. Kwenye ujenzi wa uchumi wa nchi akili kama hizi tunaziita ni za kishenzi kabisa na za kipumbavu. Right ungekuwa unaishi nchi za ulimwengu wa kwanza unakula kifungo cha miezi kadhaa gerezani ukitoka akili imepunguza makengeza.