TRA, wafanyabiashara wana temper na EFD machines

TRA, wafanyabiashara wana temper na EFD machines

Mkuu, wewe nafikiri unahitaji kuelimishwa kuhusu umuhimu wa kulipa kodi, na kama una elimu hiyo basi we ndiyo nchawi kuliko hata mtoa post. Kodi kimantiki ndiyo chanzo cha Huduma za msingi Kama Maji, Huduma za afya, Barbara tunakopita, Elimu na mambo mengine mengi tu. Kwa nchi za wenzetu mtu anapeleka mwenyewe kodi bila shuruti, ifike Mahala tuwe wazakendo, tulips kodi kwa kupenda.
Umuhimu wapi kodi zetu wanafaidi wapuuzi wachache huku sisi tukikondeana... Akina bashite na genge Lake na akina lemetuz ndio watajichukulia tuu kodi zetu mi acha nikwepe tu
 
Bado unamtihani wa kudhibitisha kwamba siku hiyo hukufanya manunuzi mara 2 kwenye duka lake, mara ya kwanza ulifanya manunuzi ya 178,000/=, mara ya pili ukafanya manunuzi ya 210,000/=, au akitaka kukupa za uso kwa style nyingine, anaweza akakwambia hiyo risiti ya mkono si yake bali umeichapisha kwenye kastationery huko vichochoroni, au hujui risiti za mkono ni batili ba hazitambuliki kokote na mtu yeyote? Hata TRA hawazitambui, kiufupi hiyo ya mkono sio risiti, ni karatasi tu. Kwahiyo bado unakesi ya kujibu kama akitaka kukushtaki for defamation. Ila pia elewa kwamba, kwa kukubali kuchukua risti ya 178,000/= huku umelipa 210,000/= maana yake ni kwamba umeshiriki wizi wa kodi kwa kuuziwa kitu cha 220,000/= kwa 210,000/=, ambapo hilo punguzo la 10,000/= ulilopewa ni limetoka kwenye kodi iliyotakiwa kulipwa, hivyo in reality wewe ndio mwizi wa kodi na hata TRA nao wakitaka kukushtaki wanaweza pia! Kua makini, unaposhiriki kwenye wizi, usiende kuripoti polisi, kula kimya kimya nenda zako, roho mbaya haijengi. Wenzako wanajenga viwanja vya ndege na mahospitali ya rufaa vijijini kwao we unapayuka tu hapa kama umekula mafuta ya nguruwe!
Hahahahha jamaa umenichekesha sanaaa unamaanisha jpm huko chattle anakupendezesha haswaa
 
Umuhimu wapi kodi zetu wanafaidi wapuuzi wachache huku sisi tukikondeana... Akina bashite na genge Lake na akina lemetuz ndio watajichukulia tuu kodi zetu mi acha nikwepe tu
Mkuu acha wazitumbue tu hizo kodi zetu, Ila hawawezi kumaliza zote bila kufanya chochote kwa jamii.
 
Nyumbu ni wewe unayelipa kodi ili bashite akazitumbue na mahawara zake
Hizi akili hizi naweza kuziita za kijinga na ukilaza uliopitiliza.

Siku ukojua wewe ni kilaza nadhan utanielewa nyumbu wewe mwenye akili za kishikiwa.
 
Nyumbu ni wewe unayelipa kodi ili bashite akazitumbue na mahawara zake
Hizi akili hizi naweza kuziita za kijinga na ukilaza uliopitiliza.

Siku ukijua wewe ni kilaza nadhan utanielewa nyumbu wewe mwenye akili za kushikiwa.
 
Hizi akili hizi naweza kuziita za kijinga na ukilaza uliopitiliza.

Siku ukijua wewe ni kilaza nadhan utanielewa nyumbu wewe mwenye akili za kishikiwa.
Kwa hiyo baada ya kugundua kuwa kodi zako zinatumbuliwa na bashite bado unajiona we mzima kichwani??
 
Hakuna kitu nakipinga kama hii wanayoita kulipa kodi!
Tunalipa kodi halafu bilioni 41 zinaenda kujenga airport chato..like seriously??
Si bora wangejenga hata mawodi huko mahospitalini yani kodi yangu ikamfaidishe sizonje? Over my dead body
 
LAKI MBILI TU UNALIA, HAPO TRA ANAENDA KUVUTA HELA YAKE KWA HUYO MFANYA BIASHARA KIULAINI , HUKU WEWE UKIJAZA SERVER
 
Lau kama wananchi wanaona maendeleo na kufaidi kodi zao, basi wasingekuwa wadanganyifu. Lakini mtu unalipa kodi kisha huoni maendeleo..... duh....
 
Mbona uweki wazi bei ya vitu ulivyopunguziwa bei, unalalamika kwa hiyo kias cha kwenye risiti. Kuwa muwazi.
Tuletee INVOICE na DERIVERY NOTE ya hivyo vitu ulivyonunua.
 
Back
Top Bottom