zanishaha
Senior Member
- May 28, 2013
- 142
- 40
Mwenyewe nimepigiwa cm ila huyo mdada anaongea haraka kwel kaniambia ni sabasaba hata cjasikia vizur sabasaba sehemu gani
Pta karume hall-sabasaba ground
Mwenyewe nimepigiwa cm ila huyo mdada anaongea haraka kwel kaniambia ni sabasaba hata cjasikia vizur sabasaba sehemu gani
all the best mkubwa and all. ambao mmeshapigiwa daaah me naitolea macho tu simu yangu jamaa hata ku beep hawa beep ...... .......
Post = assistant accountant TRA
venue=karume hall former PTA HALL
place =DSM kilwa road
interviewee=2100
available post= ( )
date = 11 sept 2013
time =8:00 am (+3 hrs GMT)
recruitment agency =( )
kazi ni kwenu vijana!kazi nje nje
mi nimepata e-mail,cmu cjapigiwa....tuko pamoja mkuu katika maombi ila tujiandae vizuri maana nasikia jamaa wanakaza balaa,pepa kama ya cpa nasikia...Mm mwnyw leo nmepgiwa cm leo asubuhi wanaita kwny interview then wanatuma email ila mm email bado hawajani2mia,sku ya kuenda unaenda na hiyo barua utakayotumiwa kwa email. wana jf naomba maombi yenu maana kitaa nipagumu mno wa2 tumechoka balaa!
Kila la kheri mkuu...ukivuta kitu uje hapa kutupa mrejesho!
mi nimepata e-mail,cmu cjapigiwa....tuko pamoja mkuu katika maombi ila tujiandae vizuri maana nasikia jamaa wanakaza balaa,pepa kama ya cpa nasikia...
Hongera bro, kuna namba imenipigia ya mezani nlikuwa mbali na simu, sasa napiga nambiwa inatumika kama dk 45 zimepita, namba walokupigia inaishia ngp?
Hawa watu sometimes inachukua hata wk,wewe endelea kuwasikilizia!tehe tehe. Mi mwenyewe naisubr kwa ham ila hawajapga
jarib kuchek kweny spam folder
2.7 ndio mwishoNyie mlioitwa gpa mwisho ya ngapi jamani..nipo roho juu hapa maana hawa watu wapo makini na gpa
kuna wadau wawil wamepigiwa mda huu..tukae mkao wa kula
Hawajaconsider sana GPA