Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,501
Kwanini mkuu?T.R.A ndo mana MTU mwenye Certificate anaendesha Toyota Crown
Kwanini mkuu?T.R.A ndo mana MTU mwenye Certificate anaendesha Toyota Crown
Usiwe mbishi wenzetu gari wanatumia kutokana na toleo sio mpaka gari lizeeke. Gari ndani ya mwaka inatoka toleo jingine kwa hiyo mtu anauza na kuchukua model mpya. Usifikiri kwao gari wanatumia mpaka kiti cha dereva kinakuzoea kama huku kwetu.Ndiyo hivyo umeibiwa Volvo iliyotembea km 30 000 haiwezi kuuzwa bei hiyo, na ndiyo maana umepigwa uchakavu, dola 4000 ni gari iliyotembea zaidi ya km 100 000 !
Kwahiyo ukipigwa ushuru mkubwa automatically gari yako inakuwa ya kisasa isiyochafua mazingira?Lkn pia linachafua mazingira, na ndiyo maana kodi ni kubwa ili ununue gari mpya ambayo haichafui mazingira sana, hiyo ndiyo sababu na Dunia nzima hufanya hivi kwa namna moja au nyingine!
Msamehe hajui atendalo huyo.Sawa Barbosa nimekuelewa.
Ok nimeibiwa. Sasa kwanini Serikali inaniadhibu zaidi?
Kwani kwa TRA kuongeza thamani ya gari ni kunaashiria kuwa gari ni chakavu au lina thamani kubwa? Nimeuziwa gari kwa $4,455 na TRA wamelithaminisha $10,880. Kitu kinachothaminishwa zaidi ya bei/uhalisia kinamaanisha hicho kitu kina hadhi kubwa au ni chakavu? Labda unipe ufafanuzi hapa ili nijifunze.
Mkuu unaweza ku appeal kwa kuambatanisha vielezo vyako kuna kamati inajadili vitu kama hivyo muombe agent wako afanye hivyo na uattach documents zote kama tt copy na mawasiliano kati yako na muuzaji.Ahsante DN kwa ufafanuzi.
Lakini sasa kwanini TRA wameniadhibu, kwa kitu ambacho sikuwa na control nacho? Mimi nimeliona gari na nikalipenda. Nikauliza bei nikapewa na nikaikubali. Sasa kwanini TRA wamehamua kuniadhibu zaidi kwa kunipiga ushuru ambao hauna uhalisia kwa bei niliyolipa? Ni kwamba hawaamini kuwa nimelipa hiyo bei ama? Kama ni hivyo, kwanini wasingenipa nafasi ya kuwasilisha documents ambazo zinaweza kuthibitisha/kutothibitisha kuwa nimelipa kiasi ninachosema nimelipa?
Wanaiba Mnooo ujanja mwingiKwanini mkuu?
Kwahiyo wanaiba gari?Wanaiba Mnooo ujanja mwingi
Over estimation ya Kodi yani hawa elewekiKwahiyo wanaiba gari?
Kwa ufahamu wangu TRA wanaifuata sana Ile calculator yao. Wanaweza kufanya makosa assessment ikatoka kubwa lakini ukiobject wanarekebisha.Hawafati culculator sometime....wana uplift bei utapata bleed ya macho bure
Samahani mkuu...kweni uchaguzi uliopita ulikuwa upande gani?
Nimeghaili kuagiza! !Mazda mpv ya 2006 cif3100,tra wamebadilisha cif 4700
Kodi imekuja 12m
Kwahiyo ukipigwa ushuru mkubwa automatically gari yako inakuwa ya kisasa isiyochafua mazingira?
Usiwe mbishi wenzetu gari wanatumia kutokana na toleo sio mpaka gari lizeeke. Gari ndani ya mwaka inatoka toleo jingine kwa hiyo mtu anauza na kuchukua model mpya. Usifikiri kwao gari wanatumia mpaka kiti cha dereva kinakuzoea kama huku kwetu.