Hivi unajua kufunga account na kuchukua kodi ni utaratibu wa kisheria?pale unapokumbushwa kulipa kodi halafu unakaa kimya,Hayo ndio majibu ya tuhuma zake nyingi, huwa ya jumla jumla tu, mainly ni baseless accusations.
Unfortunately nikishaona mtu hana hoja sina tabia ya kupoteza muda.
👋
Ila acheni uonevu, hakuna anaesema Diamond ni innocent, lakini kodi idaiwe kwa taratibu za sheria.
Diamond hayupo humu nyie watu. Yupo kule insta.
Wewe ujamuelewa diamond yeye hajapinga kuhusu kulipa kodi ebu fungua hiyo video umsikilize vizuri anachodai kwanini wamemfungia account zake bila kumpa maelezo yoyote na hajapokea taarifa yoyote wewe angalau umepokea taarifa hiyo ndio hoja yake ya msingi nashangaa wewe unaamisha leMm walinipigia tar 20 Mkuu jamaa alipe Kodi no excuse
Swali zuri kupitia Hili suala la Diamond naona kuna ukombozi fulani utafanyika ndani ya TRADiamond:TRA Mnanifanya kama mkimbizi katika nchi.Mmefunga akaunti zangu
TRA:Masuala ya kodi ni siri.Njoo tuyamalize sirini.
MIMI:Mbona kama sijawaelewa?Mnafanya Damage Control kwa sababu ni Diamond?Vipi hawa ambao wanakujaga ofisini kwenu sirini na bado mnawafanya wakimbizi?
Uwe unasoma mantiki ya wenzako walichoandika na kuelewa.Kungekuwa hakuna sheria hiyo, bank gani ingekibali kuingilia acc za wateja wake??
Nyie Ni chenga
Naomba unifundishe namna ya kuleta link nyingine kama hivi kwenye postKuna huyu mwamba nadhani naye anatakiwa kujibiwa kama Diamond.
Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake
Aisee usiwaine tu watu Instagram ukawachukulia poa, jamaa huyu huwa anatoka sana na wadada wa Bongo movie, na picha yake akila romance na Wema ilivuja na kumpa umaarufu mkubwa. Huyu jamaa PCK amekuwa na urafiki na Mastaa wengi na ni mfanyabiashara , ana miliki maduka ya simu, hotel, show room...www.jamiiforums.com
Sawa mlamba matador wa mwendazake,tumikusikiaTatizo ni kwamba huwa mna ‘bias listening’ wakati sakata likiwa linaendelea. Matokeo yake mna kuwa na premise ya kujiaminisha ukweli mnaotaka nyinyi.
Sasa kama ulifuatilia sakata baada ya NHC kuwa inamdai Mbowe kodi ya zaidi ya miaka 5 nyuma, waliamua kumtoa kwa kukiuka mkataba na wakaweka wazi jengo wana mpango walikubadilishia matumizi ivyo litavunjwa wakishamtoa.
Mbowe akakata rufaa, akashindwa; mengine ni facts mnazotaka nyinyi lakini NHC waliweka wazi eneo wanalivunja kufanya uwekezaji mwingine baada ya hapo.
Kwamba unadhani Tanzania itatetereka?Diamond anapanga kuhamishia kazi zake Rwanda au Kenya tuone kama itakuaje
Again uwe unasoma post za watu Simba, Yanga na TFF walishakuwa na mgogoro na NHC.Simba, Yanga na hata TFF ziliwahi kumbwa na kadhia hii kwa nyakati tofauti...
Kodi ilipwe...
sawa na karibuni hapa.
Mbona umen'gan'gania lipa kodi nimemsikiliza diamond kwenye hiyo video vizuri wala yeye alalamiki suala la kulipa kodi kwasababu yeyemwenyewe ni mlipaji mzuri wa kodi na amekuwa wanawasiliana vizuri na kukaa pamoja na TRA ila kinamshangaza ndipo key point ambapo TRA wanatakiwa wamjibu ni kitendo Cha kumfungia account zake bila kumpa taarifa yoyote juu la Hilo suala wakati wana number zake za simu, na pia wana njia nyingi za kumpa taarifa lakini hawajafanya na amejaribu kwenda TRA baada ya kufungiwa hawajampa majibu ya kueleweka zaidi ya kuambiwa nenda kwa mtu fulani na akifika kwa huyo anarushiwa kwa mtu mwingine bila kupewa majibu yoyote hiyo ndio key point ya malalamiko ya Diamond nashangaa wewe unaamisha magoalTimiza wajibu wako,dai haki yako
Wanajificha kwenye ule msemo, kutokujua kosa sio sababu ya kutenda kosa.Yule bwana Kayombo amekuwa mkurugenzi wa Idara ya Elimu kwa mlipakodi kwa miaka zaidi ya 10 ila hamna anachojifunza. Wasaidizi wake nao hawajifunzi chochote, hawana update ya mabadiliko ya sheria za kodi yanayofanywa na bunge wakati wa kupitisha bajeti nk
Haieleweki hata wanafanya kazi gani ikiwa walipa kodi wengi hawajui kwa nini wanalipa kodi.
Wa kwanza kuhalalisha tabia mbaya ni yule anayekiuka utaratibu. Mtu usilipe kodi halafu ubembelezwe tu ili iweje.Watu kama nyie ndio mnaowapa hawa watu encouragement ya kuonea watu na kuvunja sheria.
Taasisi na hata watu wanaofahamu accounting practice na sheria za kodi kila siku wanawabwaga kwenye mahakama za kodi na fidia wanalipwa, hayo makampuni ya kigeni ndio kabisa wakiwacheleweshea tax overpayments returns na interest wanawalipa kama sheria inavyotaka.
Wanawaonea watu kama nyie msiojua sheria na kutaka kila mtu abariki tabia za mijizi michache ndani ya hiyo taasisi inayotafuta rushwa kwa nguvu, eti usipotii utapeli utakoma huko ni kuhalalisha tabia zao mbaya.
[emoji112]
Inategemea weledi wa account wako pia kwenye sheria, anavyoheshimu accounting practice za TRA na jinsi anavyotunza document.Wa kwanza kuhalalisha tabia mbaya ni yule anayekiuka utaratibu. Mtu usilipe kodi halafu ubembelezwe tu ili iweje.
Atimize wajibu wake kisha adai haki yake
Yupo na nimeona mwandiko wake.Diamond hayupo humu nyie watu. Yupo kule insta.
Happy New Year wakuu wa TRA.
Hebu nionyeshe...nataka kumsalimia ChibuYupo na nimeona mwandiko wake.