TRA na ushuru wa kuingiza gari

TRA na ushuru wa kuingiza gari

mbona ukinunua gari jipya kodi yake ni kubwa sana ukilinganisha na gari hilhilo ukinunua likuwa kuku?
kuna jama alinunua gari landcruiser kilimo kwanza jipya uarabuni kuulizia ushuru kaambiwa milioni mia na zaidi, ikabidi aliinue matairi yakawa juu akakanyaga accelerator mpaka likasoma km kadhaa kuulizia ushuru upo chini ya mia akapakia na kulileta bongo.
 
Wasanii tu hawa. Ukinunuwa gari kongwe wanakwambia lina uchakavu, ukinunuwa mpya wanaipandisha thamani. You cant win!
nunua ule mwaka wa mwisho wa kikomo cha uchakavu yanni 2008 hapo umewaweza ila ukinunua la 2009, 2010 utaambiwa value kubwa daa nchi hii shida sana.

Alafu CIF yao kubwa tofauti na ya makampuni ya kuuza magari.
 
Najaribu kufikiri bila ya triple kodi magari yangukua milioni 38 Tz.
 
Nilikuwa najishughulisha na biashara ya kuleta lori Tanzania, kwakusema ukweli sasa imenishinda nimehamia Kongo, nanunua lori mpaka kufika bongo natumia kama mil 27, ushuru wake mil 35 mpaka truck hiwe nje, hapana aisee, halafu ata kiwanda cha kutengeneza spoku tu za baskeli hatuna
 
mnaenda mbali sana wakuu hebu kanunue kitu chochote kutoka ZANZIBAR kukileta huku BARA ni shida halafu wanasema siye ni nchi moja wakati ushuru unapgwa kotekote ZRA na TRA
 
TRA Wezi kabisa

Majambazi.., maana wezi ni kuwashusha daraja. Hawa jamaa hizo kodi zao zinatuhusu sie walalahoi! Jamaa wanaoingiza kontena zaidi ya elfu mbili bila kuzilipia kodi wao sijui watanzania wenye kitu gani cha zaidi yetu sisi!
 
Ni watu wangapi wa kawaida wanaweza Kumudu kununua gari jipya?Lawama kubwa ziende kwa wabunge especially wa ccm (ndo kwa wingi wao)wangeweza kabisa kuzuia dhuluma hii ovu.TRA tunawalaumu bure,wanatekeleza sheria.

byabatto senior., ila kumbuka mashangingi ya wabunge sio mitumba!!
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu kuna jamaa alinunua escudo new model mil 15 kodi ikaja mil 30

utawala uliyopita ulikuwa na roho mbaya sana. Haiwezekani unanunua ka vitsi ka usd 1500 unalipa ushuru wa kununulia vitsi 2 uhu ni wizi mtupu. Magufuli ingilia kati. Uwizi huu. Ili kila mtanzania aweze kumiliki usafiri wake.
 
Umenichekesha, hivi hayo magari yalikuwa yanatoka nchi gani?

Mkuu pata kipande kidogo cha mambo ya Simca hapo chini

SIMCA started out building Fiats and Fords
before going it alone...
In a comparatively short career, SIMCA gained quite a following in France, and during its life was responsible for the production of a best seller, as well as some technically avant-garde machinery.
A potted history of SIMCA automobiles
The name SIMCA stands for Society industrielle de Mechanique et Carrosserie Automobile. Established by Henri-Theodore Pigozzi in November 1934, the company was formed with the intention of building Fiats for the French market.
 
Attachments

  • 1449617539156.jpg
    1449617539156.jpg
    19.1 KB · Views: 143
  • 1449617561686.jpg
    1449617561686.jpg
    82.7 KB · Views: 137
Hilo sio siri silifahamu ila kama ni body appearance nikiliona nitakumbuka utotoni maana nilikaa Upanga karibu na Garage ya Mzee Rupia kulikuwa na Magari ya kizamani ya kila aina hadi Raha...

Nakumbuka Moris nadhani nayo yalikuwa yanakuja Mapya pamoja na Rolls Royce

Mkuu pata picha za Old is GOLD
 
Attachments

  • 1449617678503.jpg
    1449617678503.jpg
    79 KB · Views: 134
  • 1449617695773.jpg
    1449617695773.jpg
    86.3 KB · Views: 124
  • 1449617714145.jpg
    1449617714145.jpg
    81.8 KB · Views: 114
  • 1449617727767.jpg
    1449617727767.jpg
    84.5 KB · Views: 121
  • 1449617763551.jpg
    1449617763551.jpg
    87.4 KB · Views: 122
Daah hio vintage collection yako ni ya ukweli sana bro,those old good days.
 
Mkuu ahsante to be honest they were really old good days usisikie.

Kuna mshakaji mmoja mtaani baba yake ana vw ya zamani sana kuna siku nilimuomba niitest, asee nilijihisi kweli naendesha Gari kwanza ukikaa kwenye kochi hakuna yale mambo ya leather seat, ukiingiza Gia inakua ngumu flani hivi, ukikata kona Unajisikia kweli umekata sio haya ya siku hizi unakata kona na kidole kimoja ,niliipenda sana radio ya ile Gari!Thnxs sana mkuu kwa kumbukumbu hizo Safi
 
VW maana yake ni peoples car ilikusudiwa kila mwenye uwezo hata ukiwa mdogo umiliki gari,nilikuwa nakutafutia picha ya Volkswagen kwenye mtandao hebu angalia hizo chini
Hizi gari zilikuwa zikiletwa nchini zinaletwa mpya
 
Attachments

  • 1449620118484.jpg
    1449620118484.jpg
    88.1 KB · Views: 105
  • 1449620138258.jpg
    1449620138258.jpg
    32.7 KB · Views: 100
  • 1449620155734.jpg
    1449620155734.jpg
    35.7 KB · Views: 97
  • 1449620175194.jpg
    1449620175194.jpg
    69.5 KB · Views: 99
Majambazi.., maana wezi ni kuwashusha daraja. Hawa jamaa hizo kodi zao zinatuhusu sie walalahoi! Jamaa wanaoingiza kontena zaidi ya elfu mbili bila kuzilipia kodi wao sijui watanzania wenye kitu gani cha zaidi yetu sisi!

Umeona mkuu, halaf mtu katoka dar kenda zanzibar kununua tv na dvd na cattle fridge kwa matumizi yake na familia yake akifika port dar anadaiwa ushuru, tena kama tv ulinunua laki 2 utalipia ushuru laki 3 kama sio wizi ni nini?

Pale port wamekuwa na njaa kama fisi, yaani usije ukapita na hata na kijiko, hujaleta gari hapo.

Mi kinacho nishangaza show room gari ni rahisi kuliko kwenda Japan au kuagiza gari Japan na kugharamia mwenyewe.

Kwa nini.?
 
Hapo kwenye inshu ya zanzibar wanachokifanya Tra kama hio Gari ushuru wake huku Bara labda ni million 10 na kule zanzibar labda ushuru wake ni milioni 3,wanachokifanya ukiileta hio Gari Bara wana kucharge million 7 ambayo wamechukua million 10 kutoa zile million 3 ulizolipia zanzibar., afu hao jamaa wa show room labda kwa sababu wanaagiza magari mengi kwa wakati mmoja nadhani wauzaji kule Japan wanawauzia magari kwa discount tofauti na sisi tunaonunua moja moja afu wakifika Tra nadhani kuna michakato hua wanaifanya kule
 
Back
Top Bottom