TRA na ushuru wa kuingiza gari

TRA na ushuru wa kuingiza gari

kumbe kaka hujui, gari inapokua brand new FOB na CIF ndio hua kubwa but cost zingine ambazo ndo hutuua kama Import duty,engine capacity, year of manufacturer na vingine na hivi hua ghali endapo gari yako ni ya zamani sana ni ni nafuu almost 0 endapo gari yako brand new

Ndugu yangu nenda kwa calculator utapata majibu. Hata mimi nilidhani hivyo
 
Sio Dhuruma mkuu hayo Magari ya kununuliwa na kila mtu ni Mabovu ukiangalia Idadi ya ajari na idadi ya watu waliokufa kwa ajari za barabarani hata ungekuwa wewe ungeunga mkono yaondoshwe

Mkuu acha utani bana tupo serious hapa lol. Hivi ulishawahi kufuatilia kodi ya gari jipya? Halafu gari nyingine kadiri inavozidi miaka ndo kodi inapungua. Mlaleo hebu cheki hii mambo ndugu yangu
 
Rais.Dkt.Magufuli na Mh.Majaliwa tunaomba mliangalie hili suala.Ushuru wa kingiza magari unaumiza sana watanzania na hauko rafiki wakati wafanyabiashara wakubwa wanasamehewa na kukwepa ushuru wa mabilion.
Ieleweke kuwa gari si anasa bali ni nyenzo muhimu kwa maendeleo.
 
Hawa jamaa wamepandisha ushuru wa kuingiza magari kumbe nao ni wizi tu. Unanunua gari mill 7 ushuru TRA unalipa mil 20. Huu ni uwendawazimu kabisa. Haiingii akilini.

Mkuu hii ni shida nyingine, baada ya Waziri mkuu kuwavamia hawa maBw, usilogwe upitishe kakontena kako hata kenye viberiti ndani, hawa jamaa wa TRA wanataka sifa sasa, unapigwa hata 30M, hutaki cha moto utakiona na hakuna ku appeal popote
 
Rais.Dkt.Magufuli na Mh.Majaliwa tunaomba mliangalie hili suala.Ushuru wa kingiza magari unaumiza sana watanzania na hauko rafiki wakati wafanyabiashara wakubwa wanasamehewa na kukwepa ushuru wa mabilion.
Ieleweke kuwa gari si anasa bali ni nyenzo muhimu kwa maendeleo.

Kwa kweli mkuu. Naamini wanapita humu ujumbe wameupata kwa kweli. Itawasaidia raia wengi. Naamini kabisa inawezekana kama wakiamua. Naamini watafanya hivo na uwezo wanao. Mungu Ibariki Tz, Mungu Mbariki Rais Magufuli.
 
Nchi zote tunatumia Act moja ya kodi kwa afrika mashariki,hivyo kama unakuja Tanzania ni hivyo hivyo tu.
Na ukiagiza gari jipya gharama za ununuzi wa huko ni kubwa ila hapa kwetu ushuru na kodi unakuwa chini,sasa kama unataka kuikomoa serikali agiza gari jiPya.
 
Hizo calculator zao haziamini na azitabiliki agiza gari ulete km ujalikimbia.Nchi za Sadcc kodi iko chini sana ndo maana kule magari bei rahisi kuingiza gari tza ni sawa na kununua maiti, mimi sioni mantiki ya magari yanayokuja kuinunua uchumi mfno mabasi na malori yatozwe kodi, Ushauri wangu mtu aaingize gari awe anakatwa kod kidogokidogo kila mwaka kupitia dhamana ya bank, itasaidia hata ss wajasilimali wadogo kumiliki magari ya kusafirishia mizigo na kutoa ajira kwa wengine
 
Mkuu hii ni shida nyingine, baada ya Waziri mkuu kuwavamia hawa maBw, usilogwe upitishe kakontena kako hata kenye viberiti ndani, hawa jamaa wa TRA wanataka sifa sasa, unapigwa hata 30M, hutaki cha moto utakiona na hakuna ku appeal popote

Mkuu hawajawahi kumhurumia mtu. Ukweli ni kuwa wamekuwa wapigaji. Afadhali ulipe ushuru halali.
 
Hapa kwetu huwezi leta roli,bus au concrete mixer truck kama una hela ya kodi pungufu vitapigwa mnada fanyeni kama botswana,zimbabwe na zambia vitu ambavyo ni utility kwa jamii bank inakua mdhamini wako kisheria na si mpaka upeleke nyumba tena ilo gari na kadi inaenda bank..hapa wageni ndio wanafaidika na fursa ya kutolipa kodi mpaka biashara yake itengamae lakini kwa wazawa ni kuminyana..mkiwa na mazingira Rafiki kwa walipa kodi ni wachache sana watakaokwepa kulipa na maendeleo yataonekana sio haya maendeleo yapo katika makaratasi ya BOT wakati uhalisia haupo..
 
Trekta halina ushuru sawa kabisa,majembe yake yote yana ushuru sasa trekta litalima na matairi yake tuu au hapo ipoje na maana ya kuweka ushuru ktk majembe ni nini...
 
Kweli hata mimi hili linanikera sana ushuru wa magari uko juu sana sasa sijui ni kweli au ndo wanatuchakachua
 
Nchi zote tunatumia Act moja ya kodi kwa afrika mashariki,hivyo kama unakuja Tanzania ni hivyo hivyo tu.
Na ukiagiza gari jipya gharama za ununuzi wa huko ni kubwa ila hapa kwetu ushuru na kodi unakuwa chini,sasa kama unataka kuikomoa serikali agiza gari jiPya.

Tupe mfano basi wa bei ya gari fulani jipya na ushuru wake mkuu, tujipange.
 
Mbona yanawezekana tu kununua gari jipya kwani kitambo kile Tanganyika na zanzibar kulikuwa na Magari mapya tu... hii Used ni kuanzia miaka ya 80s juu kwenda 90s kulikuwa na Magari Mapya tu Land Rover Peugeot renault, Scania, Benz kubwa Bedford,Fiat, Nissan Dutsun, Toyota Hilux, Suzuki, Leyland na Nadhani Nyerere alikuwa hapendi Mitumba.. na watu waliweza kununua mbona why now washindwe?

Fanyeni Kazi sana kila kitu kinawezekana... Kulima, Biashara n.k inawezekana

Mkuu Mlaleo katika aina ya magari uliyoyataja ambayo yalikuwa yanaletwa mapya nilikuwa natafuta jina la aina moja ya gari nilisahau sasa nimekumbuka ni SIMCA!!!
 
Mkuu Mlaleo katika aina ya magari uliyoyataja ambayo yalikuwa yanaletwa mapya nilikuwa natafuta jina la aina moja ya gari nilisahau sasa nimekumbuka ni SIMCA!!!

Umenichekesha, hivi hayo magari yalikuwa yanatoka nchi gani?
 
Nchi zote tunatumia Act moja ya kodi kwa afrika mashariki,hivyo kama unakuja Tanzania ni hivyo hivyo tu.
Na ukiagiza gari jipya gharama za ununuzi wa huko ni kubwa ila hapa kwetu ushuru na kodi unakuwa chini,sasa kama unataka kuikomoa serikali agiza gari jiPya.

Unajidanganya,Gari Jipya linakuwa na 0% Depreciation Kama la 2015 hii inamaana CIF itakayofanyiwa ukokotoaji ni almost sasa na bei Hiyo Hiyo mpya,mfano gx 110 ikiwa mpya ni 33,000$ Ila ikiwa imetengenezwa 2001 wataipiga Depreciation ya 80% na kupata cif ya ~ 2500$ Ila Hiyo Hiyo kwa mfano Kama imetengenezwa 2015 cif itakuwa 33000$,
 
Serikali za nchi maskini hazin uwezo wa kujenga na kuongeza idadi ya barabara maradufu..............tetetete!
Labda uwe nchi zilizoendelea huko mliko uswahilini mnafungiwa kotekote,
Mnataka kujaza magari mjini, barabara zitoke wapi?..hehehehhh!
Ama mtaziendesha angani.............tatizo ni serikali zetu hazina uwezo wa kujenga ma fly-over/barabara faster kama China au USA vile.
HAIJALISHI jipya au chakavu ,nia ni kuwazuia kabisa kumiliki hayo magari...ahueni kwa wachache tu...matajiri.

Mnachohitaji ni kuwapiga vita hawa,ili waongeze idadi ya barabara maradufu!

Chanukeni.
 
Mkuu Mlaleo katika aina ya magari uliyoyataja ambayo yalikuwa yanaletwa mapya nilikuwa natafuta jina la aina moja ya gari nilisahau sasa nimekumbuka ni SIMCA!!!

Hilo sio siri silifahamu ila kama ni body appearance nikiliona nitakumbuka utotoni maana nilikaa Upanga karibu na Garage ya Mzee Rupia kulikuwa na Magari ya kizamani ya kila aina hadi Raha...

Nakumbuka Moris nadhani nayo yalikuwa yanakuja Mapya pamoja na Rolls Royce
 
Lexus ya mwaka 2010 cif $ 17,000,Ushuru mil Tsh 33,850,000/=
Ndio maana waliokua wanayaweza ni kina Masamaki peke yao.
 
Back
Top Bottom