macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,176
- 59,994
Kama magari kutoka UK yanafanyiwa ukaguzi wa nini wakati yanakuwa yameshafanyiwa? Ni ufisadi uliokubuhu. Halfu mbaya zaidi ni kuwa hizi kampuni hakuna ukaguzi wowote wanaofanya ila wanakusanya fedha tuchilisosi