CLES B
JF-Expert Member
- Jul 7, 2013
- 733
- 459
Tatizo mnanunua magari yaliyo 'hoza' sasa!!!
Yaliyohoza/yaliyooza?
Tatizo mnanunua magari yaliyo 'hoza' sasa!!!
Ndugu yangu kuna jamaa alinunua escudo new model mil 15 kodi ikaja mil 30
New model 15m/=?
Hawa jamaa wamepandisha ushuru wa kuingiza magari kumbe nao ni wizi tu. Unanunua gari mill 7 ushuru TRA unalipa mil 20. Huu ni uwendawazimu kabisa. Haiingii akilini.
Wakuu inawezekana tunalipa ushuru mkubwa sana, na hivyo serikali inapaswa itusikilize. Lakini pia jaribu kulinganisha ushuru walipao wenzetu Kenya kwa kutumia calculator ya Tanzania, na Kenya. Inaonesha Kenya wanalipia maradufu.
Tanzania Revenue Authority - Calculators & tools
KRA Motor Vehicle Import Duty Calculator
Kwa milioni 7 bora ununue lawn mower ya Honda, halafu itume ro-ro kwa meli. Utakuwa unapiga misele in somebody's backyard.
Wakiwa nayo nyie inawauma nini??!!Tatizo ni gari la milioni 7. Wewe hutakiwi kuwa na gari. Haiwezekani kila Athumani, Hadija na Maimuna waweze ku-afford mikweche ya CIF $1500 wakitegemea total kodi na ushuru wa $150.
Wakiwa nayo nyie inawauma nini??!!
Au raha yenu ni kuona wakinyeshewa na mvua na kupeleka watoto wao shule kwa bodaboda??!!
Wakiumwa usiku wakagonge mageti ya watu kwa msaada wa usafiri??!!
Milioni 7 hata bajaj mpya hupati. Jaribu kuagiza bajaji used kutoka India uitume kwa meli ukishindwa tafuta mkweche wa hapahapa kwa bei hiyo.
ha ha hakuna hatari ya kusugua soli hadi kieleweke. napata wasi wasi na ishu ya kodi kwenye viatu inakuja....Hapo AKILI itakuja.
Milioni 7 hata bajaj mpya hupati. Jaribu kuagiza bajaji used kutoka India uitume kwa meli ukishindwa tafuta mkweche wa hapahapa kwa bei hiyo.
Mkuu gari zinauzwa bei rahisi sana usibishe kama hauna password.uliza utaambiwa si gari tuu viingi ila kodi ndio shida hapa kwetu..
Barabara hazitoshelezi nchi hii. Siyo lazima kila mtu mwenye dola 300 aweze kuagiza gari la 1995. Mikweche ipo mingi soko la ndani kwa bei ya milioni 7 all inclusive. Wewe kama huna uwezo wa kulipa kodi nunua mnazi mmoja na kwenye car yard