Miunda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 530
- 183
Hapo kwenye inshu ya zanzibar wanachokifanya Tra kama hio Gari ushuru wake huku Bara labda ni million 10 na kule zanzibar labda ushuru wake ni milioni 3,wanachokifanya ukiileta hio Gari Bara wana kucharge million 7 ambayo wamechukua million 10 kutoa zile million 3 ulizolipia zanzibar., afu hao jamaa wa show room labda kwa sababu wanaagiza magari mengi kwa wakati mmoja nadhani wauzaji kule Japan wanawauzia magari kwa discount tofauti na sisi tunaonunua moja moja afu wakifika Tra nadhani kuna michakato hua wanaifanya kule
Katika European union, we toka na gari nchi yoyote na nenda nchi unayo taka, hautadaiwa kodi, na kila nchi imeweka taratibu zake za kodi, kwa nini iwe Tanzania tu ndio tuna mfumo huu? Halafu tunausifia muungano wa pekee..
Kanunue tv mkuu zanzibar kama hutaiwacha bandarini, bora ununue Kenya or nchi nyengine jirani nafuu.