TRA na ada za mabango

TASK FORce wa tra wanashindana kununua audi..ni wapumbavu sana kila mwaka wanangangania wapandishe kodi...kuna mtu wa ndani azam niliongea nae anasema azam alikuwa analipa kwa almashauri kodi ya mabango b13-20b walivyokuja kuhamishiwa tra wakatakiwa kulipa b50-80 wakakayafuta na kununua turubai nyingine..
Sasa huu ndo upumbavu kabisa yaani
 
Malori mengi yamefuta mabango
Kuanzia Azam hadi Azania

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi kodi kubwa kwenye magari hazisaidii Azam Mlipa kodi mkubwa gar ya bidhaa zake ina tofauti gani na alama ya biadhaa kwenye kifungashio chake? mfano gunia la unga linakuwa na nembo ya Azam je TRA utachaji kuwa lile tangazo la biashara hilo gunia la kubeba huo unga? gari ya Azam mfano haina tofauti na gunia limebeba unga wake unamchachije kodi kwenye bebeo lake? TRA kuna shida.Nimeona kampuni nyingi zimeondoa matangazokwenye magari yao tena kubwa
 
Kuna mtu wa ndani azam niliongea nae anasema azam alikuwa analipa kwa almashauri kodi ya mabango b13-20b walivyokuja kuhamishiwa tra wakatakiwa kulipa b50-80 wakakayafuta na kununua turubai nyingine..
Huo ni uhujumu uchumi wa wazi kabisa wamefanya kutoka kupata bilioni 13-20 hadi zero aisee.Kukusanya mapato gani huko.kunakofuta kabisa hata yaliyokuwepo?
 
TRA wana matatizo wako tayari wakose pesa kuliko ku chaji pesa ndogo wakiusanye kodi

Mfano madogo magari mengi sana ya kubeba mizigo yalikuwa na matangazo ya bidhaa kwenye bodi za magari baada ya kuambiwa kodi kubwa na TRA za hayo.matangazo ambayo kwa wanaona kama mabango ya biashara wenye magari wamefuta hayo matangazo gari inatembea bila tangazo na TRA wanaambulia mikono mitupu!!! heri hata wangesena lipeni hata elfu 20 kwa mwezi waambulie chochote kulipko.kupata zero
Mitano tena.
 
wasomi wa nchi hii ni mazuzu
 
Naandika haya huku nacheka sana,

Mmoja wa wateja wangu alitaka kufanya Campaign kubwa ya kitaifa kwa ajili ya bidhaa yake/ huduma. Kama ilivyo kawaida yangu nilimpatia baadhi ya Maangalizo ikiwamo umuhimu wa kuwa strategic na cost conscious ili asije tumia pesa nyingi kufanya matangazo ambayo sio ya lazima. Basi tukaanza mchakato wa kufanya due diligence na kuona hii kampeni yake ya kuweka mabango offline itaendaje.

Nikaenda kwa afisa wa TRA kufahamu kodi ya mabango ni kiasi gani? Akaniambia ni TZS 18000 kwa futi moja ya mraba.Kwa hesabu za haraka Bango moja kubwa linaweza kuwa na futi 8 za mraba hivyo kwa mwaka litapaswa kulipiwa kati ya TZS 40k hadi TZS 80k kwa idadi ya mabango tuliyotaka kuweka na ukubwa wake tuligundua kwamba gharama za kuyatengeneza mabango ni ndogo kuliko kuliko kodi kwa 120% yaani kodi tutakayolipa kwa kila bango ni kati ya 80% na 120% Kwanza nikashangaa lakini baadae nikaelewa ni kwa nini sasa hivi makampuni mengi yanakimbia kuweka Mabango mjini.

Hivi TRA hizi rates nilizopatiwa kweli ndo standard rates au kuna mazingira ya UPIGAJI? Ukipita mjini mabillboard yaliyokuwa yanachangamsha mji yameshushwa mji unaoneka umezeeka kumbe chanzo ni hizo kodi tata za Mabango.

Swali ni je, hiki kiwango ni fair?
Fanyeni social media marketing achaneni na sarakasi za TRA.
 
labda nikusaidie mleta mada....kwanza kodi zote za mabango zilikuwa zinakusanywa na manispaaa....baada ya uchaguzi zilitakiwa kulipwa TRA....then 2021 zimerudishwa manispaa.....nenda manispaa utapewa na tangazo la gazeti likiwa na terehe iliyopitishwa ni manispaa.....kila manispaa ina bei zake na kuna lenye taa ambalo ni 24hrs na lisilo na taa.....so hapo utapata maelekezo vema.....yes mabango yana faida tena kubwa....unawekeza once, municipal fee ni per annual.....na wewe unamchaji mteja per month...rate za mteja inategemea wapi na wapi....mean bango liko eneo gani.........ishu ni kwamba...bango liwe na mteja au la....municipal wanaai chao.....ndio maana unaona mengi yanaondolewa..but one mteja kapatikana linachipua kama uyoga.....am in that industry for long...nasema kwa uzoefu kabisa.....
 
Soon wataanza kukata kodi kwa wote wanaomiliki smartphone.
Jana Ndugulile alikua analalama mapato ya kupiga simu nje yamepungua kwa kuwa watu wanatumia skype na watsap calls. Wanawaza namna ya kucontrol watsap calls hahahh
 
Hili ni tatizo Kubwa sana, na liko mikononi kwa Raisi mwenyewe, na hapo inakua ngumu sana kuliongelea Swala la kodi Kubwa ambayo inarudisha Nchi nyuma, Ni vizuri raisi akatafuta watu mwenye uelewa wa Biashara wawe wafanya biashara wasio na historia ya upigaji, wamshauri wamwonyeshe jinsi kodi Kubwa na nyingi inavyoikosesha Nchi pesa nyingi.
Unadhani hajui hilo?!

Anajua sana. Kinachoendelea hapa ni maamuzi kamili yanayolenga kitokee kinachotokea. Yaani wameamua sisi kutukomoa.... Ili wao wapate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lob
Hakuna hata haja ya kulipisha mabango kwenye magari, kwani magari yanalipa kodi, na hizo bizaa zinalipa kodi, unampa unafuu wa huyo wenye bizaa kupata wateja, ili aweze kulipa kodi , hawafikirii hawa watu kabisa.
Double taxation. Malighafi inachapwa kodi, gharama za ubebaji kuna kodi, kiwanda kina kodi, products zinakodi, zikifika dukani kuna kodi..... So its double taxation happening.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lob
Unadhani hajui hilo?!

Anajua sana. Kinachoendelea hapa ni maamuzi kamili yanayolenga kitokee kinachotokea. Yaani wameamua sisi kutukomoa.... Ili wao wapate

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni maajabu, Wanajifanyia mpaka wao wenyewe na ndugu zao makusudi, kwani hata Ndugu zao,marafiki na majirani hawana kazi na ni masikini.
 
labda nikusaidie mleta mada....kwanza kodi zote za mabango zilikuwa zinakusanywa na manispaaa....baada ya uchaguzi zilitakiwa kulipwa TRA....then 2021 zimerudishwa manispaa.....nenda manispaa utapewa na tangazo la gazeti likiwa na terehe iliyopitishwa ni manispaa.....kila manispaa ina bei zake na kuna lenye taa ambalo ni 24hrs na lisilo na taa.....so hapo utapata maelekezo vema.....yes mabango yana faida tena kubwa....unawekeza once, municipal fee ni per annual.....na wewe unamchaji mteja per month...rate za mteja inategemea wapi na wapi....mean bango liko eneo gani.........ishu ni kwamba...bango liwe na mteja au la....municipal wanaai chao.....ndio maana unaona mengi yanaondolewa..but one mteja kapatikana linachipua kama uyoga.....am in that industry for long...nasema kwa uzoefu kabisa.....
Unaishi TZ au nchi nyingine
 
Back
Top Bottom