TRA kuweni makini, Wasafi Festival

TRA kuweni makini, Wasafi Festival

Mkuu upo sawa 10000 vat yake ni 1800...kwa sisi tunaofanya biashara tunajua
Wewe upo sahihi lakini huyo unaemuunga mkono hayupo sahihi. Rudia kusoma alichoandika utaelewa.
 
Kinachotokea sasa hivi ni wakusanya ticket wanakusanya tickets pamoja na EFD receipts, kisha wanazirudisha katika sales point hili coaster hapa getini.

Babu Tale yupo getini.
Waacheni vijana wetu.
Kwani governor hayupo hapo ???
 
Ameharibu kuingiza siasa kwenye muziki.

Washabiki wake walio vyama vya upinzani kuanza kuwaimbia Magufuli na Makonda ni kuwachefua.

Hata mm hapo kanikwaza! Umaskini tu wa akili..ww km unajijua una kipaji mbona unatusua tu!
 
Wasafi ( Diamond ) kua marafiki wa Bashite wanajikuta Nchi kama Yao Diamond amejaa kiboko na Dharau walipe tu kodi TRA fanyeni kazi yenu

Wewe lini Diamond umemsemesha akakuonesha dharau.? Umasikini ukizidi huzaa chuki na wivu
 
kumbe kuna watu serious wameenda kuangalia ujinga
,watu wako kazini na show inaingiza millions of money Wewe unasema ujinga?
Umewazidi nini Wewe walioenda?
Diamond,wizkid,tiwasavage Kati ya hao watatu wote hakuna hata Mmoja kwenye ukoo wenu anawagusa
They are rich,genius and talented.
 
Watanzania wengi wanaona fahari kuibia serikali. Ni jambo la aibu sana.
Kodi watalipa CCM wanaoongoza nchi na wapinzani nao wakishika nchi watalipa Kodi wao,hadi sasa nyingi ccm mmeshindwa kukusanya Kodi na kuiletea nchi maendeleo kwa 50years,mnataka kusaidiwa,lipeni Kodi.
 
Anaeweza kuiba aibe tu maana hao waliopo juu kutusimamia nao wana mali zisizoelezeka zimepatikanaje, ukiipata fursa itumie hakunaga kufungwa tena ila kuombwa urudishe sehemu ya pesa ulizoiba basi maisha yanasonga.
 
Ni bora msikiliza kelele kuliko mlevi
Watoto wako wamekuzidi Akili maana hauko timamu.

Tuna machaguo tofauti, nakiri wazi wanangu huenda wamenizidi akili kwa vile wanajifunza kwangu nami naandaa kizazi bora kabisa.... nikukumbushe tu kuwa king’amuzi huwa nawalipia hao wanangu.
 
Back
Top Bottom