TRA kuweni makini, Wasafi Festival

TRA kuweni makini, Wasafi Festival

Sema kwa sasa hivi kunajaa ila ishu ni kodi, hamna fungulia mbwa huko nje?
 
Sema kwa sasa hivi kunajaa ila ishu ni kodi, hamna fungulia mbwa huko nje?
Unachekesha fungulia mbwa saa nne? we tafuta story za kutunga,umeanza kodi sasa hivi umekuja na story za fungulia mbwa.Youtube streaming tu 20k.
 
Geti ni manual,ticket zinatengenezwa kwa makadirio-Kwani zikiisha watu wakaruhusiwa kuingia bure kuna ubaya gani?
 
Petty issue unajua katika kila 10,000/= kuna 1,800/= ya serikali, nikimaanisha VAT ambayo siyo ya wasafi ila ni value added kwa wahudhuriaj?, zidisha kwa half ya entrance
Kimahesabu kama tiketi moja inauzwa 10,000/= na VAT ikiwa ndani yake ina maana bila VAT bei ya tiketi ingekuwa 8,474.60 ambapo ukipigia 18% ya kiasi hicho ili kuongeza VAT yake utapata 1,525.40. Hivyo 8,474.60 ukiongeza VAT yake (yaani 18% yake) ndipo utapata jumla ya 10,000/=.

Hiyo uliyotaja 1,800/= kama VAT (18%) ingekuwa hivyo kama bei ya tiketi bila VAT ingekuwa 10,000/= ndipo ungeongezea 18% yake (VAT) na kupata 11,800/= iliyojumuisha VAT. Ni ufafanuzi tu.
 
Back
Top Bottom