TRA kuweni makini, Wasafi Festival

TRA kuweni makini, Wasafi Festival

Kwahiyo tiketi zimekuwa sold out?
Kinachotokea sasa hivi ni wakusanya ticket wanakusanya tickets pamoja na EFD receipts, kisha wanazirudisha katika sales point hili coaster hapa getini.

Babu Tale yupo getini.
 
Mimi nnkuwekea beer, Heineken hapa ni 5,000/=
IMG_0007.JPG
 
Kodi zenyewe hata wakipata si ndio hizo wanatumia kukandamiza wanyonge.Acha watu wapige mpunga bana hao wenyewe wakusanya kodi ndio mafisadi wakubwa.
 
Bro kama ukiamua kurudi nyuma kwenye threads utajua sina shida ya hela, kabisa yani

Kama ticket zimeisha mbona huku ndani hapajajaa na watu wanapanga foleni kupokea ticket ambazo zimelipiwa?

Kwanini wakusanye ticket ana efd receipt?na wanazirudisha kweye coaster kufanya nini?ngoja nikanunue nyingine nijue ni ya mda gani
Weka ya ticket uliyonunua kama kweli unawezanunua zaidi ya kusubiria fungulia dog
 
Kinachotokea sasa hivi ni wakusanya ticket wanakusanya tickets pamoja na EFD receipts, kisha wanazirudisha katika sales point hili coaster hapa getini.

Babu Tale yupo getini.
Hivi kwa nini kizazi cha 1989-2000 mna roho mbaya sana. Hizo hela wakija TRA kumkamua huyo unaetaka wamkamue,unafikiri kuna mahala wewe hizo hela utaitwa kwenda kuzipangia matumizi?.
 
Siyo sold out, wanarudisha ambazo wameshatoa receipt za efd, ukifika getini wanaichukua kama ulivyoinunua, kisha wanairudisha kwenye coaster ananunua mwingine

Wasafi ( Diamond ) kua marafiki wa Bashite wanajikuta Nchi kama Yao Diamond amejaa kiboko na Dharau walipe tu kodi TRA fanyeni kazi yenu
 
Back
Top Bottom