Duuhhh!!!! Wahujumu uchumi haoKinachotokea sasa hivi ni wakusanya ticket wanakusanya tickets pamoja na EFD receipts, kisha wanazirudisha katika sales point hili coaster hapa getini
Babu tale yupo getini
Iyo ni percent ngapi ya rating ya kazi nzima?....petty issues!
Harufu ya UhujumuKinachotokea sasa hivi ni wakusanya ticket wanakusanya tickets pamoja na EFD receipts, kisha wanazirudisha katika sales point hili coaster hapa getini
Babu tale yupo getini
Nakuonaga kule Celebrity forum ukipondaga kumbe na ww umeenda.Leo mziki mbovu umekuwa mzuri.Kinachotokea sasa hivi ni wakusanya ticket wanakusanya tickets pamoja na EFD receipts, kisha wanazirudisha katika sales point hili coaster hapa getini
Babu tale yupo getini
Sio kweli kama katika kila 10,000/= kuna 1,800/= na kama ingekua hivyo basi tiketi ingekua 12,000/=Petty issue unajua katika kila 10,000/= kuna 1,800/= ya serikali, nikimaanisha VAT ambayo siyo ya wasafi ila ni value added kwa wahudhuriaj?, zidisha kwa half ya entrance
Tuliza mzuka basi mbona kama umepanick...!?Weendelea kusambaza uongo,lkn ndio hivyo kama ipo ipo hata ukizusha.Thread yako ninayo.
Nani apanick labda ww uliyedandia treni kwa mile,huyo mleta thread sio mgeni kwangu.Tuliza mzuka basi mbona kama umepanick...!?
Umezuiliwa kuingia getini huna pesa umeamua kuchoma, tiketi zishaisha rudi kalale tu.... usiwafundishe kazi TRA kodi haikusanywi hivyo.
Waje wazee na wajukuu zao lkn FITINA YAKO,BAHATI KWA WENZAKO,we endelea tu ila hapo hakiharibiki kitu,eti mgambo wa Suma JKT 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sawa mmwambie babu tale hapo getini wanakuja wazee wa kazi, bashite cant save them