Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 126
- 186
Ndugu Mjasiriamali habari,
Kwa miaka kadhaa tumekua tukipiga kelele TRA irahisishe huduma zake ziwe kama za Brela na Tausi maana struggle ilikua ni kubwa.
TRA wameanzisha mfumo unaitwa IDRAS ambao ni mfumo unaokuwezesha
-kusajili Kampuni yako TRA
-Kupata TIN certificate
-Kufanya Tax clearance
-kusajili chombo Cha moto
-transfer ya chombo Cha moto
Pamoja na huduma zote zilizokua zikitolewa kwenye TRA portal bila kwenda ofisini kwao.
Unaweza kufanya huduma zote hizi ukiwa mahali popote wakati wowote.