TRA Dodoma, fuatilieni matumizi ya mashine za EFD

Mmekaririshwa kuhusu efd hamjui hata mnachokiongea Serikali inaweza kuwabana wafanyabiashara wanapoingiza mizigo walipe kodi sahihi mzunguko ukiwa mkubwa wanapata mapato ya kutosha achaneni na huo umasikini wa vifuko na risiti ndg yangu mmoja yupo hapa kila saa anauliza huku hawawafatilii risiti namwambia wanawabana waleta mizigo mikubwa durban sisi hata uwe na maduka mia hupati usumbufu kama ukiwa na saloon bongo SARS wanafurahi kuona mauzo yako yanapanda na wanakwambia ukifika level fulani mnakaa kuhusu kodi tunaumiza kichwa kodi ya Landroad tuu..kodi inakabwa bandarini sio kwa wachimbachumvi..
😁😁😁😁
 
Swali, mtoa maada umewahi kufanya biashara?' Usimhimize mwenzio kuwajibika wakati wewe huwajibiki.wajibu ni wetu sisi wote,
 
Sasa hata kama unataka tununue bidhaa yako ndio ututishe na hayo maTRA, sisi tumeanza biashara kabla hata tra haijaundwa.

Poor marketing strategy
 
Back
Top Bottom