Tozo Tsh. bil. 117, Vituo vya afya 234

Tozo Tsh. bil. 117, Vituo vya afya 234

ile Card ni Zaid ya Green papers za ubalozi... Ukiwa nayo wanakuzingatia Sasa huu si ubaguzi huu
Kuna teacher alijiendeleza enzi za mjomba akatika certificate akapata Degree aliporudi kazini akawaa mwana CCM haswa hakukawia saivi ni Mkuu wa shule na anakula pesa nzuri tu, Wakati kuna watu walijiendeleza kabla yake mpaka leo wanakula msoto wa certificate
 
Hii ndio Tanzania aloiacha Mwalim, Alipaswa kufanya mapinduzi makubwa sana ya kikatiba akiwa bafo yupo Madarakani.
Mwalimu aliiacha Tz ikiwa na raia milion 9 tu na huku akipitia majaribio matatu ya kupinduliwa.Na jaribio la mwisho kabisa likifanyika miaka ya 90 chini ya kina Zakaria Hensipope.
Huo mwalimu chini ya nchi yenye raia milion 60+ siangekula shaba kabisa!?.
KILA KITABU NA ZAMA ZAKE.
 
Kweli lakini hua najiuliza hili swali Mwalimu hakuwahi kuona mapungufu ya hii katiba enzi akiwa madarakani? Kwanini hakufanya mabadiliko mapema au nae alinogewa na kiti kama walevi wa sasa wasivyotaka kuruhusu mabadiliko?
 
Baada ya kuaibika sasa mnatafuta excuses 😆😆..

Zamani mlikuwanasema tupe Orodha sasa mumebadili GIA baada ya Kuangukia pua 😝😝
Salaaam sana wakuu.

Vituo vya Afya;

Vingine vya kitambo Baba wa Taifa kaviacha, navyo vipya hivyo?

Vingi kavijenga mjomba, navyo vipya hivyo?

Vichache wameongeza jengo tu, navyo vipya hivyo?

Nitajie kituo cha afya kimoja tu mtaani kwao unachojua tumepigwa, usisahau kunitajia na kipya ambacho wamefanya kweli.
(Soma kwenye list)View attachment 2347868View attachment 2347871View attachment 2347873View attachment 2347874View attachment 2347876View attachment 2347877View attachment 2347879View attachment 2347880View attachment 2347881
 
Kweli lakini hua najiuliza hili swali Mwalimu hakuwahi kuona mapungufu ya hii katiba enzi akiwa madarakani? Kwanini hakufanya mabadiliko mapema au nae alinogewa na kiti kama walevi wa sasa wasivyotaka kuruhusu mabadiliko?
Huyo Mwalimu wako alikaa madarakani miaka 25,aliondoka kwa aibu baada ya kushindwa kwenye uchumi 😁😁
 
Duuh.

Sasaaa zile pesa za covid.

Mikopo WB si mlituambia kuwa zilifanya kazi hizi hizi??

Kwanini mtudanganye lakini.

Hamjui kuwa hayo madaraka yenu ni ya muda tu??

Mtakuja umbuka na msiamini yatayowapata.
Dua la kuku
 
Kama karibia kila kitu kinafanywa na tozo, je kodi zinafanya nini? Madarasa yanajengwa na tozo, vituo vya afya vinajengwa na tozo, barabara bijijini zinajengwa na tozo, n.k.; nasi wapunguze kodi tubakie na tozo maana kazi ya kodi inaonekana ni kidogo sana. Au sasa hivi kodi inatumika kilipana mishahara, kununua V8 na posho tu?
 
kwa maendeleo haya tunayo yaona kila kona ya nchi yetu.

sisi wananchi tumeridhika kulipa Tozo bila kusita.

wote wanao pinga tozo ni wachawi wa maendeleo.
wachawi kwenye mambo mazuri huwa hawakosekani,

tabia ya mchawi/wachawi huwa hawapendi kuona maendeleo.

wachawi ni watu wenye roho mbaya, roho ya choyo, lengo la wachawi ni kuona kila mtu anaishi kwenye dhiki na shida/maisha duni.

wapinga tozo ni wachawi.
 
Kwahiyo bila Tozo haiwezekani ? Akili yao imeishia hapo ? Ok sio tatizo je wanafanya nini kuhakikisha mzunguko wa fedha uwe wa uhakika ili tusilalamike ? Hizo zahanati sijui hospital mnatuombea tuumwe au wanajua hata bima wengi hatuna na bado wanasrma NHIF kwa hali iliyoko nayo ikiendelea hivyo hatutakua nayo tena.
 
Salaaam sana wakuu.

Vituo vya Afya;

Vingine vya kitambo Baba wa Taifa kaviacha, navyo vipya hivyo?

Vingi kavijenga mjomba, navyo vipya hivyo?

Vichache wameongeza jengo tu, navyo vipya hivyo?

Nitajie kituo cha afya kimoja tu mtaani kwao unachojua tumepigwa, usisahau kunitajia na kipya ambacho wamefanya kweli.
(Soma kwenye list)View attachment 2347868View attachment 2347871View attachment 2347873View attachment 2347874View attachment 2347876View attachment 2347877View attachment 2347879View attachment 2347880View attachment 2347881
Kwahiyo kodi zingine siku hizi mna kusanya za Kampeni? Zenyewe hazifanyi miradi? Kila mradi pambio tozo. Yaani mna halalisha wizi wenu huku madini yetu yaki puputikia Ulaya!!!
 
kwa maendeleo haya tunayo yaona kila kona ya nchi yetu.

sisi wananchi tumeridhika kulipa Tozo bila kusita.

wote wanao pinga tozo ni wachawi wa maendeleo.
wachawi kwenye mambo mazuri huwa hawakosekani,

tabia ya mchawi/wachawi huwa hawapendi kuona maendeleo.

wachawi ni watu wenye roho mbaya, roho ya choyo, lengo la wachawi ni kuona kila mtu anaishi kwenye dhiki na shida/maisha duni.

wapinga tozo ni wachawi.
Na hata alipokwisha kulamba asali alibwabwaja Ovyo, kuna shida hapa.
 
Kama karibia kila kitu kinafanywa na tozo, je kodi zinafanya nini? Madarasa yanajengwa na tozo, vituo vya afya vinajengwa na tozo, barabara bijijini zinajengwa na tozo, n.k.; nasi wapunguze kodi tubakie na tozo maana kazi ya kodi inaonekana ni kidogo sana. Au sasa hivi kodi inatumika kilipana mishahara, kununua V8 na posho tu?
Wanafaidi sana hao Mbwa, Afu cha ajabu kuna wapambe wao humu ndani.
 
Duuh.

Sasaaa zile pesa za covid.

Mikopo WB si mlituambia kuwa zilifanya kazi hizi hizi??

Kwanini mtudanganye lakini.

Hamjui kuwa hayo madaraka yenu ni ya muda tu??

Mtakuja umbuka na msiamini yatayowapata.
Hata wewe!!!!
 
wewe sio raia, au utakuwa miongoni mwa lile "genge la kigaidi"..
Kawasikilize baba zako CCM nao wameuona ufisadi wa watendaji wao kupitia tozo, wewe ni nani hata utetee upumbavu?

Vijana kama wewe ndo mnaangamiza hili taifa kwa kushahabikia Upunguani.
 
Back
Top Bottom