fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,707
- 7,384
Hakuna kiluchofojiwa bro vituo vimejengwaWanaforce kutuhamasisha kwa mbinu za kitoto kabisa. Naona wanarudi na ule mfumo wa kuforge taarifa na wakati ndo walikua wanautumia kumponda mjomba.
Hakuna kiluchofojiwa bro vituo vimejengwaWanaforce kutuhamasisha kwa mbinu za kitoto kabisa. Naona wanarudi na ule mfumo wa kuforge taarifa na wakati ndo walikua wanautumia kumponda mjomba.
Uongo unahitaji kumbukumbu nzuri sana vinginevyo ni majanga.234 Health Centers/117bil.=2bil.
Naona awamu hii wametumia bilioni Mbili tu kukamilisha kituo kizima.
Sasa najiuliza zile bajet zinatolewaga mpaka 50bil. Kwa kituo kimoja huwa zinaenda wapi hizo 48bil![]()
Ndugu yangu, Lloyd Munroe, nchi hii kwa sasa inamilikiwa na genge la wezi lililovaa koti la chama tawala, CCM.Nchi imejaa wezi, wanafki, waongo na wanyang'anyi wanaojiita viongozi
Hapana, hii itatoka baada ya wananchi kupiga kelele kwenye Maria Space na kwingineko. Tunasubiria kwanza kelele ndio tutoe ufafanuziVipi lakini hizo taarifa za tozo ya mafuta na ununuzi wa vifaa na Madawa unayo hapo?
Umeongea point sana mkuu, Uku ni kutunyang'anya maana si kwa kodi hizi. Kuna kodi na unyang'anyi.Nchi za kiafrika kuna tatazo sana LA kisera,hakuna mipango thabiti inayosiamamiwa kuondokana na haya matatizo ya kijamii kama shule,Barbara,zahanati,maji n.k.
Hata uongeze kodi na tozo kwa 100% utapata hela lakini hutaweza kumaliza hayo matatizo au kuyapunguza kwa kiwango kikubwa pasipo kuathiri chumi za Wananchi wa kiwango kikubwa.
Serikali inabidi kuja na mpango wa muda mrefu ambao utawezesha Serikali kupata mapato all the time kutekeleza miradi hiyo ya kijamii pasipo kuathiri uchumi wa Nchi,na mpango huo unatakiwa utekelezwe na Rais yoyote atakayeingia madarakani lasivyo tutakuwa kila siku ni vilio.
Aaahahahhaah ndo ujue si vipya kwa maana vimekua vikifanya kazi siku zote na vimekaliwa na wataalam wachache tayarVituo vya afya 230 vimejengwa Ila sijawahi kuona Ajira za wataalamu WA afya zikitangazwa kwenye hivyo vituo
Ila hii nchi jamani

Hakika Adui yetu si CCM si raisi fulani wala waziri flan kwa maana yeyote ajae kupitia genge hilo ni atatekeleza matakwa ya genge lakeNdugu yangu, Lloyd Munroe, nchi hii kwa sasa inamilikiwa na genge la wezi lililovaa koti la chama tawala, CCM.
CCM imejengwa katika misingi ya wizi, rushwa, unafiki, uongo, dhulma na kila aina ya uovu unaoweza kuufikiria.
Siku sisi wazalendo tukizinduka na kuivunjilia mbali misingi hiyo, hapo tutakuwa tumelikomboa upya taifa letu.
Nje ya hapo tunadanganyana tu kwani adui nambari one wa taifa hili ni CCM, period!
Wametugawa makundi makundi Kuanzia dini, Elimu na mengine mengi ukitaka kufanya Jambo unakuta mko mafungu Mana wanacho-hofia ni siku mkiwa na wazo moja Bila kuyumba.Na kwa bahat mbaya wananchi hatuna nguvu ya kuwang'oa kwenye viti hivyo![]()
Siku moja naambiwa kijana njoo ofisini uchukue Card ya CCM na ujiunge UVCCM unaeza ukadhani umelogwa kila fulsa inakupita kushoto shituka, Nilisikitika sana kuona tumefika uko!!Wametugawa makundi makundi Kuanzia dini, Elimu na mengine mengi ukitaka kufanya Jambo unakuta mko mafungu Mana wanacho-hofia ni siku mkiwa na wazo moja Bila kuyumba.
Labda wanataka kutwambia wao ndo watukafu sasa wale wanyuma wote walikua wezi haswa. Nategemea hii kasi iongezeke mara dufu kwa maana ikisuasua tu watajirudisha kwenye kundi lilelile la Majizi wao wenyewe.Kwamba hivi vyote vimejengwa tangu July 1,2021 hadi leo hii Septemba 7,2022? Hivi kodi zingine zinafanya maswala gani? I.e kodi za mapato binafsi, ya uwekezaji, kampuni? Leseni za biashara etc...miaka ya nyuma hivi vituo vya afya vilikua vinajengwaje?
ile Card ni Zaid ya Green papers za ubalozi... Ukiwa nayo wanakuzingatia Sasa huu si ubaguzi huuSiku moja naambiwa kijana njoo ofisini uchukue Card ya CCM na ujiunge UVCCM unaeza ukadhani umelogwa kila fulsa inakupita kushoto shituka, Nilisikitika sana kuona tumefika uko!!

