Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,277
- 9,443
Duuuh,saasa wanadanganya...kwamba watu hawatajua au??Kituo cha Afya Mkonoo Arusha Jiji kimejengwa mwaka 1989, labda kimeongezewa jengo.
Duuuh,saasa wanadanganya...kwamba watu hawatajua au??Kituo cha Afya Mkonoo Arusha Jiji kimejengwa mwaka 1989, labda kimeongezewa jengo.
Duuuh ,yani bora wasingeweka hiyo list.Mbona Kashai Bukoba kimekuwepo kabla ya Samia kuwa Rais? Au ni Kashai ipi ?
Haaaaa haaaa.Duuh.
Sasaaa zile pesa za covid.
Mikopo WB si mlituambia kuwa zilifanya kazi hizi hizi??
Kwanini mtudanganye lakini.
Hamjui kuwa hayo madaraka yenu ni ya muda tu??
Mtakuja umbuka na msiamini yatayowapata.
Yani bado tu mnafikilia kumminya mwananchi wa chini kwa kuendelea na hizo tozo zenu,ili mjilie tu kwa rahaOngezeko la bajeti TARURA ni kwa ajili ya kuongeza mishahara na posho za watumishi. Tozo za mwakani ndio tutaangalia kuhusu kuongeza kilometa za lami
Acha tu,tusije hata siku moja kuwalaumu wale waasi.Sasa nimeelewa kwanini nchi nyingine za Afrika kuna waasi wanaopambana na serikali
Sasa sisi wananchi tupinge awamu ya sita maendeleo ili iwaje,si tutakuwa tunajiumiza wenyewe.eti wanajitokeza wapuuzi wachache wanapinga maendeleo ya wananchi.
Mama na timu yako kuweni imara kamwe msiyumbe wala msikubali kuyumbishwa.
Hata awamu zilizo pita zilipingwa kwenye baadhi ya maamuzi lakini waliyasimamia na leo hii sisi wananchi tunanufaika.
Mfano;
Hayati benjamini Makapa alianzisha kodi ya VAT alipingwa sana lkn matokeo yake tunayaona hadi leo.
Hayati Magufuli alipingwa sana juu ya maamuzi ya kununua ndege lakini leo hii hata wale walio pinga wananufaika nazo.
Tozo iendeleee, tena nashauri tutafute vyanzo vingine zaidi ili tuchangie maendeleo yetu.
Hao wapuuzi wachache wanao pinga lengo lao ni kuona awamu ya 6 ina fail kuleta maendeleo yaliyo kusudiwa, kamwe yusiwape nafasi hao mashetani wachache.
Huu ni wizi wa wazi kabisa, anyway there's is a good day comingSalaaam sana wakuu.
Vituo vya Afya;
Vingine vya kitambo Baba wa Taifa kaviacha, navyo vipya hivyo?
Vingi kavijenga mjomba, navyo vipya hivyo?
Vichache wameongeza jengo tu, navyo vipya hivyo?
Nitajie kituo cha afya kimoja tu mtaani kwao unachojua tumepigwa, usisahau kunitajia na kipya ambacho wamefanya kweli.
(Soma kwenye list)View attachment 2347868View attachment 2347871View attachment 2347873View attachment 2347874View attachment 2347876View attachment 2347877View attachment 2347879View attachment 2347880View attachment 2347881
Wizi wa bila aibuNchi hii viongozi wakiamua kutetea jambo lao, wanatumia mbinu za kila aina bila kujua kwamba mbinu zao zinaibua maswali zaidi.
Kwa mfano, kama tozo pekee imeweza kukusanywa kwa kiwango hicho na kujenga hiyo miundombinu, je kwa miaka kadhaa iliyopita fedha za uwekezaji, utalii, ushuru wa masoko, mikopo, ufadhili nk, si tungeshajenga viwanda vingi kila mkoa???
Kwanini tozo zionekane kupewa nguvu zaidi kwenye matumizi kuliko makusanyo mengine???
Tozo ni wizi!
kwetu hakuna hata kimoja na tunahudumiwa na hospitali ya kanisa katoliki na gharama ni kubwa.Jiwe amka baba yetu huku tunapigwa. Waarabu wameteka serikali
234 Health Centers/117bil.=2bil.
Naona awamu hii wametumia bilioni Mbili tu kukamilisha kituo kizima.
Sasa najiuliza zile bajet zinatolewaga mpaka 50bil. Kwa kituo kimoja huwa zinaenda wapi hizo 48bil![]()
Kibanda hicho kinadaiwa kugharimu Tsh. Milioni 11 katika Ujenzi wake