Tozo Tsh. bil. 117, Vituo vya afya 234

Tozo Tsh. bil. 117, Vituo vya afya 234

Hata kama hayajaisha, wewe jua yamegharimu Tshs. Milioni 500

Kila kituo hapo gharama yake ni shilingi milioni 500.
Vipi lakini hizo taarifa za tozo ya mafuta na ununuzi wa vifaa na Madawa unayo hapo?
 
Ongezeko la bajeti TARURA ni kwa ajili ya kuongeza mishahara na posho za watumishi. Tozo za mwakani ndio tutaangalia kuhusu kuongeza kilometa za lami
Serious lakini kwanini TOZO tu na si mapato mengine?
 
"TOZO NA MAENDELEO"
Tozo pia zinapaswa kuzingatia uchumi wa wananchi walionao kwa wakati huo, Kukomba kapu lililo tupu na kulikung'uta ni kumwangamiza Raia
 
eti wanajitokeza wapuuzi wachache wanapinga maendeleo ya wananchi.

Mama na timu yako kuweni imara kamwe msiyumbe wala msikubali kuyumbishwa.

Hata awamu zilizo pita zilipingwa kwenye baadhi ya maamuzi lakini waliyasimamia na leo hii sisi wananchi tunanufaika.

Mfano;
Hayati benjamini Makapa alianzisha kodi ya VAT alipingwa sana lkn matokeo yake tunayaona hadi leo.

Hayati Magufuli alipingwa sana juu ya maamuzi ya kununua ndege lakini leo hii hata wale walio pinga wananufaika nazo.

Tozo iendeleee, tena nashauri tutafute vyanzo vingine zaidi ili tuchangie maendeleo yetu.

Hao wapuuzi wachache wanao pinga lengo lao ni kuona awamu ya 6 ina fail kuleta maendeleo yaliyo kusudiwa, kamwe yusiwape nafasi hao mashetani wachache.
 
WAZIRI BASHUNGWA: MABASI 177 MAPYA YA MWENDOKASI YANANUNULIWA

OR -TAMISEMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amesema Serikali ipo katika hatua za mwisho za kusaini mkataba wa kununuliwa kwa Mabasi mapya 177 Mwendokasi ya Wakala wa Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) jijini Dar es Salaam.

Bashungwa ameeleza hayo leo tarehe 03 Septemba 2022 alipoambatana na Kamati ya Kudumu ta Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) kutembelea na kukagua miradi ya Wakala wa Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Dar es salaam.

Bashungwa ameeleza Ogezeko la mabasi hayo litawezesha DART kuongeza huduma kwa wananchi kutoka kuhudumia abiria 200,000 hadi kufikia 500,000 kwa siku katika vituo vyote vilivyopo sasa Dar es salaam.

"Mabasi ya mwendokasi yamepunguza kwa asilimia kubwa msongamano wa magari katika Mkoa wa Dar es Salaam na kuwawezesha wananchi kutumia muda mwingi kwenye kufanya kazi za uzalishaji pia kuwawezesha wanafunzi kufika mashuleni mapema bila adha kubwa za foleni," amesema Mhe.Bashungwa.

Aidha, Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe kusimamia kikamilifu DART kufanya usanifu kwa haraka katika maeneo ambayo yapo pembezoni ili kuweka mpango wa kufikisha huduma ya Mabasi ya Mwendokasi, kama maeneo ya Vikindu, Kigambo, ukonga na Chanika.

Waziri huyo amesema dhamira ya serikali ni kuongeza mtandao wa barabara za mwendokasi kwa kufikisha huduma ya mabasi katika maeneo pembezoni yenye watu wengi na kuboresha huduma katika maeneo ambayo yana huduma za mabasi ya mwendokasi.

Vile vile, Bashungwa amempongeza Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupitisha muundo mpya wa kitaasisi wa Wakala huo ili kuwawezesha kutoa huduma ya usafiri kwa wananchi wa Dar es salaam.

Naye, Mwenyekiti wa Kamati PIC, Mhe. Jerry Silaa amepongeza DART kwa kutumia mifumo ya TEHAMA katika utoaji huduma na kuwezesha mapato kuongezeka kutoka Sh.bilioni 25 hadi sh.bilioni 36 kwa mwaka wa fedha 2021/22.

Silaa ameitaka DART kurejea upembuzi yakinifu wa Mradi wa Mabasi yaendayo haraka uliofanyika mwaka 2004 ili kuwezesha kuweka mipango mipya ya kufikisha huduma katika maeneo ya pembezoni.

Pia amesema kuweka mpango wa kufikisha huduma katika Mikoa mingine kama Dodoma, Arusha, Mwanza na Mbeya.
1662523519948.jpg
 
eti wanajitokeza wapuuzi wachache wanapinga maendeleo ya wananchi.

Mama na timu yako kuweni imara kamwe msiyumbe wala msikubali kuyumbishwa.

Hata awamu zilizo pita zilipingwa kwenye baadhi ya maamuzi lakini waliyasimamia na leo hii sisi wananchi tunanufaika.

Mfano;
Hayati benjamini Makapa alianzisha kodi ya VAT alipingwa sana lkn matokeo yake tunayaona hadi leo.

Hayati Magufuli alipingwa sana juu ya maamuzi ya kununua ndege lakini leo hii hata wale walio pinga wananufaika nazo.

Tozo iendeleee, tena nashauri tutafute vyanzo vingine zaidi ili tuchangie maendeleo yetu.

Hao wapuuzi wachache wanao pinga lengo lao ni kuona awamu ya 6 ina fail kuleta maendeleo yaliyo kusudiwa, kamwe yusiwape nafasi hao mashetani wachache.
Suala la ndege weka kwenye mabano. Ni ushauri tu
 
Hadi tar 1.9.2022 hakuna hata sent tano imetolewa au kutumwa na serikali kwa ajili ya elimu bure kupitia bajeti ya mwaka 2022/2023.
Walimu wakuu wamesubiri posho zao za kila mwezi ,miezi mitatu sasa wanaambiwa mfumo haujafunguka kumbe hakuna fedha
Umeona Mambo yao sasa
 
Tamisemi na wizara ya fedha waweke mkeka au majeduali ya fedha za maendeleo na tozo walizozituma kwenye miradi au Halmashauri kuanzia July- Sept 2022.
Ili wananchi wazione kuepuka kauli mbiu ya kusema mfumo haujafunguka
 
Hivi unafahamu tofauti ya Kodi, Tozo, Ada na Ushuru hebu angalia video hii

Screenshot_20220907-072745_1.jpg
 
eti wanajitokeza wapuuzi wachache wanapinga maendeleo ya wananchi.

Mama na timu yako kuweni imara kamwe msiyumbe wala msikubali kuyumbishwa.

Hata awamu zilizo pita zilipingwa kwenye baadhi ya maamuzi lakini waliyasimamia na leo hii sisi wananchi tunanufaika.

Mfano;
Hayati benjamini Makapa alianzisha kodi ya VAT alipingwa sana lkn matokeo yake tunayaona hadi leo.

Hayati Magufuli alipingwa sana juu ya maamuzi ya kununua ndege lakini leo hii hata wale walio pinga wananufaika nazo.

Tozo iendeleee, tena nashauri tutafute vyanzo vingine zaidi ili tuchangie maendeleo yetu.

Hao wapuuzi wachache wanao pinga lengo lao ni kuona awamu ya 6 ina fail kuleta maendeleo yaliyo kusudiwa, kamwe yusiwape nafasi hao mashetani wachache.

Uza ubongo huo mzee maana unakaa nao kwa hasara. Hivyo vituo viko kabla ya tozo. Tulijua tu kuwa ni utapeli, na hii list yao ndio imewaaibisha moja kwa moja.
 
eti wanajitokeza wapuuzi wachache wanapinga maendeleo ya wananchi.

Mama na timu yako kuweni imara kamwe msiyumbe wala msikubali kuyumbishwa.

Hata awamu zilizo pita zilipingwa kwenye baadhi ya maamuzi lakini waliyasimamia na leo hii sisi wananchi tunanufaika.

Mfano;
Hayati benjamini Makapa alianzisha kodi ya VAT alipingwa sana lkn matokeo yake tunayaona hadi leo.

Hayati Magufuli alipingwa sana juu ya maamuzi ya kununua ndege lakini leo hii hata wale walio pinga wananufaika nazo.

Tozo iendeleee, tena nashauri tutafute vyanzo vingine zaidi ili tuchangie maendeleo yetu.

Hao wapuuzi wachache wanao pinga lengo lao ni kuona awamu ya 6 ina fail kuleta maendeleo yaliyo kusudiwa, kamwe yusiwape nafasi hao mashetani wachache.
Unalamba asali kutokea viunga gani?
 
Back
Top Bottom