mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,337
- 12,469
Hatuna namna watupeleke jela wote tuSheria hairuhusu kuweka vibubu, unazuia mzunguko wa fedha, huo ni uhujumu uchumi[emoji3][emoji3]
Hatuna namna watupeleke jela wote tuSheria hairuhusu kuweka vibubu, unazuia mzunguko wa fedha, huo ni uhujumu uchumi[emoji3][emoji3]
Mkuu, mie nipo TTCL na nimeshindwa kutuma pesa kupitia TPESA.Mobile simbanking kwishney!!! M-pesa, tigo pesa et al kwishey!! Ni neema kwa mabenki! Yalikuwa yamepigwa bao sana!!! Foleni ndefu kwenye ATM zitarudi tena!