Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,321
Mmmmh jamani. Unywaji wa mafuta wa gari yoyote unategemea mtumiaji vilevile. msiharibu biashara ya mwenzenu. Mie ninayo ya 1997. Niliinunua 2006 lakini inapiga hadi 9km/l
mkuu ni watu kutoelewa masuala ya mitambo,kwani kilomete zikiwa nyingi piston zinaongezeka ukubwa?au inavuja?sipati picha.