blessed 7
Member
- Feb 27, 2019
- 23
- 28
Yeah ,you have to maintain on a high way at least 100 to 120 not more than that.Ila stability ndogo sana hasa zikivuka 100
Yeah ,you have to maintain on a high way at least 100 to 120 not more than that.Ila stability ndogo sana hasa zikivuka 100
Daah!Alipona ila gari haikufaa tena,na yeye amebakia na makovu ya maisha,nadhani pia alipata lesson kuwa Mungu hajaribiwi...
We jamaa bhana hahahahNasukuma hii kitu ,inahitajii umakin ,ila at least ubebe mzigo nyuma au watu kidogo la sivyoo Mbingu zitakufungukiaa na utapokelewa kwa shangwe kubwa.
Japanese car ikishavuka 100kph haiko mikononi mwako.Yeah ,you have to maintain on a high way at least 100 to 120 not more than that.
Japanese car ikishavuka 100kph haiko mikononi mwako.
Vihela vinawaua vijana....wengi utakuta gari ya kwanza.....anasafiri nayo 'kuitoa carbon'Kuna yule jamaa wa Forex money industry alinunua X6 halafu na jamaa yake akanunua x3 sijui sasa kuna siku wanatoka iringa huko gari zikiwa mpya kabisa hata miezi sita hazijafikisha wako porini si wakafanya Formula 1 bwana .
Mmoja akageuka Sebastian vettel mweingie akawa lewisj Hamilton mbio za langa langa halafu barabara zenyewe za Tanzania .
Kilichokuja tokea mwenye x 3 akajikuta hospital fuvu limepasuka na mguu una fracture mwenye X 6 ikibadi alitoka salama ila ikabidi akaiokote vipande vyake akaviunganishe kwa fundi swalehe mikoroshini hahahahahah
Vijana wakisha hela mapema tabu tupu
Hivi ulimuona yule jamaa aliekufa kwenye Hilux? Alibanwa yuko hai kuanzia usiku hadi saa nane hivi ndio akafa anajiona. Yaani watu hawawezi kumtoa wanabaki wanapiga nae stori. Simjui yule jamaa ila roho iliniuma sana. Hatuna rescue team wala nini, ukipata ajali hadi kupata msaada ni masaa, halafu madogo bado wanafanya mchezo na haya magari. Nakumbuka maneno ya yule jamaa 'haya magari haya...'Halafu inaishia kumtoa yeye roho
Sijabisha Mkuu, Point Yangu ni Umakini na Kutii Sheria, Kwa Hiyo Gari ya Mjerumani Hata Ikiingia Uvunguni mwa Lori unapeta tuHebu nioneshe gari ya mjerumani iliyopigwa ikagawanyika hivi... View attachment 1106396
Mungu wangu huyo sijamuona duu... Rescue team, vifaa na wasamaria walio committed pia...... Alikufa kifo cha maumivu mengiHivi ulimuona yule jamaa aliekufa kwenye Hilux? Alibanwa yuko hai kuanzia usiku hadi saa nane hivi ndio akafa anajiona. Yaani watu hawawezi kumtoa wanabaki wanapiga nae stori. Simjui yule jamaa ila roho iliniuma sana. Hatuna rescue team wala nini, ukipata ajali hadi kupata msaada ni masaa, halafu madogo bado wanafanya mchezo na haya magari. Nakumbuka maneno ya yule jamaa 'haya magari haya...'
Gx100 Model,iwe ni Chaser au MarkII zilikataliwa mapema sana iliyotamba tamba ni Cresta nayo sasa imeshapotea sokoni.kuliko gx100?
Hicho chuma ninacho, nitakaa nacho hadi nizeekeGx100 Model,iwe ni Chaser au MarkII zilikataliwa mapema sana iliyotamba tamba ni Cresta nayo sasa imeshapotea sokoni.
Gx90 na mdogo wake Gx80/81 kwa ambao wanazo hadi sasa wanaonekana wana magari roho za paka,Kariakoo kuna wahindi wanazo MarkII Grande na Chaser Gx 81 watu wanawagombania wawauzie ila leo hii Gx100 taka hata 1.5Mill hakuna atakayekusimamisha japo kukuuliza bei.
Mmh lakini GX MIA hasa Chaser na Cresta bado zinauza japo bei huwa haivuki 4MGx100 Model,iwe ni Chaser au MarkII zilikataliwa mapema sana iliyotamba tamba ni Cresta nayo sasa imeshapotea sokoni.
Gx90 na mdogo wake Gx80/81 kwa ambao wanazo hadi sasa wanaonekana wana magari roho za paka,Kariakoo kuna wahindi wanazo MarkII Grande na Chaser Gx 81 watu wanawagombania wawauzie ila leo hii Gx100 taka hata 1.5Mill hakuna atakayekusimamisha japo kukuuliza bei.
BMW kwa barabara zetu hizi ukienda sana ni 200 mpaka 210.... Hii speed nilishawahi kujaribu mara moja tu tena sikuenda zaidi ya km 10 nikarudi 180Daaaaah, RIP damu changa kabisa aisee.Kuna best yangu huwa anajisifu sana kufuta dsahboard yotee 180, alafu anasema haimtoshi, majuzi kavuta kitu BMW maana dashboard yake 260 KpH. Nimemshauri hashauriki.