Toyota hizi...!

Kuna yule jamaa wa Forex money industry alinunua X6 halafu na jamaa yake akanunua x3 sijui sasa kuna siku wanatoka iringa huko gari zikiwa mpya kabisa hata miezi sita hazijafikisha wako porini si wakafanya Formula 1 bwana .

Mmoja akageuka Sebastian vettel mweingie akawa lewisj Hamilton mbio za langa langa halafu barabara zenyewe za Tanzania .

Kilichokuja tokea mwenye x 3 akajikuta hospital fuvu limepasuka na mguu una fracture mwenye X 6 ikibadi alitoka salama ila ikabidi akaiokote vipande vyake akaviunganishe kwa fundi swalehe mikoroshini hahahahahah

Vijana wakisha hela mapema tabu tupu
Vihela vinawaua vijana....wengi utakuta gari ya kwanza.....anasafiri nayo 'kuitoa carbon'
 
Halafu inaishia kumtoa yeye roho
Hivi ulimuona yule jamaa aliekufa kwenye Hilux? Alibanwa yuko hai kuanzia usiku hadi saa nane hivi ndio akafa anajiona. Yaani watu hawawezi kumtoa wanabaki wanapiga nae stori. Simjui yule jamaa ila roho iliniuma sana. Hatuna rescue team wala nini, ukipata ajali hadi kupata msaada ni masaa, halafu madogo bado wanafanya mchezo na haya magari. Nakumbuka maneno ya yule jamaa 'haya magari haya...'
 
Mungu wangu huyo sijamuona duu... Rescue team, vifaa na wasamaria walio committed pia...... Alikufa kifo cha maumivu mengi
 
Hizo
images.jpeg
44E30B5200000578-4936020-image-a-51_1506782084842.jpeg
netcare-2.jpeg
images%20(1).jpeg
 
kuliko gx100?
Gx100 Model,iwe ni Chaser au MarkII zilikataliwa mapema sana iliyotamba tamba ni Cresta nayo sasa imeshapotea sokoni.

Gx90 na mdogo wake Gx80/81 kwa ambao wanazo hadi sasa wanaonekana wana magari roho za paka,Kariakoo kuna wahindi wanazo MarkII Grande na Chaser Gx 81 watu wanawagombania wawauzie ila leo hii Gx100 taka hata 1.5Mill hakuna atakayekusimamisha japo kukuuliza bei.
 
Daaaaah, RIP damu changa kabisa aisee.Kuna best yangu huwa anajisifu sana kufuta dsahboard yotee 180, alafu anasema haimtoshi, majuzi kavuta kitu BMW maana dashboard yake 260 KpH. Nimemshauri hashauriki.
 
Hicho chuma ninacho, nitakaa nacho hadi nizeeke
 
Gx100 Model,iwe ni Chaser au MarkII zilikataliwa mapema sana iliyotamba tamba ni Cresta nayo sasa imeshapotea sokoni.

Gx90 na mdogo wake Gx80/81 kwa ambao wanazo hadi sasa wanaonekana wana magari roho za paka,Kariakoo kuna wahindi wanazo MarkII Grande na Chaser Gx 81 watu wanawagombania wawauzie ila leo hii Gx100 taka hata 1.5Mill hakuna atakayekusimamisha japo kukuuliza bei.
Mmh lakini GX MIA hasa Chaser na Cresta bado zinauza japo bei huwa haivuki 4M
 
Daaaaah, RIP damu changa kabisa aisee.Kuna best yangu huwa anajisifu sana kufuta dsahboard yotee 180, alafu anasema haimtoshi, majuzi kavuta kitu BMW maana dashboard yake 260 KpH. Nimemshauri hashauriki.
BMW kwa barabara zetu hizi ukienda sana ni 200 mpaka 210.... Hii speed nilishawahi kujaribu mara moja tu tena sikuenda zaidi ya km 10 nikarudi 180
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom